#UchawiWaMauzo #28
Kabla ya kupima umeme, pima mauzo ya biashara yako. Biashara hukua kwa takwimu, si kwa hisia. Fahamu bidhaa inayouza zaidi, faida unayopata na maeneo yanayohitaji maboresho. Ukishindwa kupima, utashindwa kuboresha. KARIBU MCA TUPIME MAUZO YAKO #UzaKamaMpumbavu

Uchawi wa Mauzo #27
Mauzo Huanza Kabla ya Mteja Kufika Kwa maana "Muonekano wako ni muuzaji wa kwanza."
Hii ikiwa na maana ( Brand, mavazi, kurasa za mitandao na huduma kwa wateja hujenga uamuzi kabla ya mazungumzo)
Je, brand yako inavutia?
#UzaKamaMpumbavu

Moja ya #funfact ya leo
"Wanaume wengi waliopost Mama zao wamefanana nao sana,Na hii hata Siku ya Baba pia utaona Wanawake wengi wamefanana na Baba zao" Na Wanawake waliofanana na Mama zao huwa WAREMBO 😂 na Wanaume wanaofanana na Mama zao Mara nyingi huwa Ma-HB" #Mtaaunakitu 📍
Ankoo
Hivi unajua Mwanaume akipata pesa huwa ana ndoto ya kumpatia mpenzi wake (mke),Ila Mwanamke akipata Pesa ndoto yake ni Kuwa huru na kufanya kile anachotaka bila uwepo wa Mwanaume (mume) 😆🙌
#LoveXperiencePodcast x #Mtaaunakitu 📍

Nawatakia Watanzania wote Pasaka njema, yenye furaha na baraka tele. Tunapoadhimisha ufufuko wa Bwana Yesu Kristo, tuyakumbuke na kuyaenzi mafundisho na matendo yake ya huruma, upendo, msamaha na kujitoa kwa ajili ya wengine.
Pasaka hii itukumbushe umuhimu wa kudumisha amani, kuimarisha umoja na mshikamano wa kitaifa, ili tuendelee kujenga Taifa lenye fursa kwa wote, ustawi na maendeleo endelevu kwa kizazi cha sasa na kijacho.
Heri ya Sikukuu ya Pasaka!
Ankoo
Kushindwa si mwisho wa mapambano kwa maana makosa na maumivu ni sehemu ya safari ya mafanikio yako kesho.
UNAWEZA KUWA YEYOTE MUDA WOWOWTE ANKOO.
#HustleZaMtaa na #Mtaaunakitu 📍
Ankoo
Unajua hiyo dharau unayoifanya leo kwa mwana fulani,yaweza kukugharimu kesho kwa maana kesho yake mwana yaweza kuwa kubwa sana kuliko leo yake ambayo ndogo kwako! Maisha ni mapito,kwa maana kiti ulichonacho leo,kesho atakaa yeye pia 👋
#Mtaaunakitu x #HustleZaMtaa 📍
Ankoo
Hivi unajua kuwa Wanaume kwenye kununua bidhaa huwa wanatumia Akili (logic) na Wanawake wanatumia Hisia (Feelings + Emotional),Sasa hapo tangazo lako utajua sasa unataka wateja gani na mbinu ipi nitumie. Cc #MCA#CodeZaMauzo x #UchawiwaMauzo 📍
Ninawatakia Waislamu na Watanzania wote sikukuu njema ya Eid al-Fitr. Tumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehma, kwa kutujalia kukamilisha Ibada ya Swaumu, na tumwombe apokee funga, dua na sadaka zetu.
Tuungane na ndugu, jamaa, jirani na marafiki kusherehekea sikukuu hii kwa upendo na utulivu, huku tukidumisha umoja na kulinda amani ya nchi yetu, kwani ndiyo msingi wa ustawi na maendeleo ya Taifa letu. Tuyaishi na kuyaendeleza mema yote tuliyojifunza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani: upendo, huruma na kusaidiana, tukiimarisha maadili mema na mshikamano katika jamii zetu.
Eid Mubarak.
Ankoo
Anaeweza kukuumiza ni wakaribu yako,maana anakujua A to Z Na hata Udhaifu wako anaujua pia,Hivyo Wana sometime ndo Maadui zetu pia,ishi kininja na Lala kama Sungura macho wazi.
#Mtaaunakitu x #HustleZaMtaa 📍