Huyu Rc Aliyetoa kauli za kijinga Kwa Tour Guide Hafai kuitwa Kiongozi Guide ni Moyo wa uhifadhi kwa Taifa lolote Duniani Kauli zake Hazina afya kwa Taifa na uchochezi dhidi ya mamlaka na Tour Guide.
Kuna Muda inatokea hii Changamoto kwenye Biashara.
UNAKUTA mteja Wa Winga Amefaika Dukani Bila kumpa Taarifa Winga.
Ukaja Dukani Humkumbuki Kama ni Wa Winga ila Sura unaikumbuka.
Unampa Bei Nzuri Kabisa inayokaribiana na Unayoomuulzia Winga wako.
Unasikia anakwambia Mbona FREDDY Ananipigaga Sanaa..?
Ndio Muda Unakumbuka Kumbe Ni Mteja wa Winga wako Muhimu Kabisa.
Hapaa Kibiashara Inatakiwa Kufanyaje Umsariti Mteja au Winga Wako..?
Kijana wenu Ninawania Tuzo Ya Best mountain Guide nipigie kura Six evarist George niweze kushinda . Katika tuzo za Serengeti awards naomba kura yako Ingia hapa https//serengetiawards.maliasili.go.tz/vote