First time passes za Adam Wharton🔥
Rayo wakimpress ana pop up mpira nyuma ya kiungo chao , waki drop off anapiga lofted balls nyuma ya safu ya ulinzi .
Ile line yao ya ushambuliaji wawaache walinzi wa Palace wawe na mpira na kuwanyima njia ya pass kwa Kamada na Wharton .
It might work
Updates 👇
➡️ Maofisa & Broadcasters wa mechi ya Fainali ya pili ya CAF CC kati ya wenyeji Simba 🇹🇿 dhidi ya Berkane 🇲🇦 wanaendelea na maandalizi Zanzibar.
➡️ Hakuna Mabadiliko yoyote yaliyotolewa na CAF kuhusu uwanja wa mechi.
✅ So far, Mechi itapigwa New Amaan Complex.
Updates 👇
➡️ Klabu ya As Vita 🇨🇩 imemrejesha beki wa kulia Djuma Shabani (32) kama mchezaji huru.
➡️ Baada ya kumrejesha Yannick Bangala, sasa ni zamu ya Djuma Shabani.
✅ Done & Sealed 🔒
🚨BREAKING
Duke Abuya🇰🇪Could leave Yanga SC 🇹🇿 at the end of the season, No negotiations over new deal and his contract expires in June.
Told , JS Kabilye🇩🇿are in advanced talks to sign him as a free agent
Yanga SC 🇹🇿 is always a priority for Abuya