Marekani inathamini ushirikiano wake wa muda mrefu na watu wa Tanzania, ambao umeleta ustawi kwa wananchi wetu na usalama katika kanda hii. Hata hivyo, hatua za hivi karibuni za Serikali ya Tanzania zimezua wasiwasi mkubwa kuhusu mwelekeo wa uhusiano wetu rasmi wa kibalozi. Mustakabali wa uhusiano wetu rasmi wa kibalozi na Serikali ya Tanzania utategemea matendo yake.
Tamko kamili: https://t.co/JXTcEC9TG0
I welcome the State Department’s response to my requests to review the U.S.–Tanzania relationship. The ongoing situation in Tanzania is deeply troubling and threatens the stability and security of a vital region. This violent repression, including cases against Christian leaders, needs a thorough examination.
I am also concerned by reports that U.S.-based tech companies are blocking social media access for individuals targeted by the Tanzanian government—including some in the United States. We have already seen the harmful effects of the former Biden Administration’s efforts to police social media on political and civic discourse in our own country. For this to be happening in Tanzania at that government’s request is unacceptable.
Joint Statement by the British High Commission, the Canadian High Commission, the Embassies of Norway, Switzerland, Belgium, Denmark, Finland, France, Germany, Ireland, Italy, the Netherlands, Poland, Slovakia, Spain, Sweden, and the EU Delegation, on Recent Events in Tanzania.
The deputy leader of Tanzania's main opposition party, Chadema, is facing terrorism charges, two weeks after his arrest in the capital Dodoma, his lawyer has said. It is unclear when he will appear in court. The government hasn't commented on the case.
https://t.co/70nRGGI8Iq
SARIKALI ILIFANYA MACHAFUKO YA KUUA NA KUTEKA WATU, WANANCHI WAMEFANYA MACHAFUKO YA KUCHOMA MOTO MALI ZA NCHI.
Serikali imelalamikiwa mara nyingi juu ya machafuko ya utekaji, mauaji imekaa kimya haikuchukua hatua yoyote, Serikali imelalamikiwa juu ya upotevu wa pesa za umma kwenye Ripoti ya CAG inayotolewa kila mwaka imekaa kimya, haya hayaja iumiza Tanzania tu bali tujikumbushe ya Kenya.
Kenya mwaka 2007 yalitokea maandamano makubwa kipindi cha uchaguzi kama yaliyotokea Tanzania watu zaidi ya 1500 waliuwawa.
Wakenya walichoma mali za Serikali na vibaraka wake, maandamano yale yalipelekea Kenya ikapata katiba mpya ili kukomesha machafuko mengine yasijirudie ndio maana leo wakenya wakiandamana hawachomi moto mali za umma, leo Tanzania imepita katika mapito yaleyale ya Kenya ya 2007 badala viongozi wawape wananchi walichokuwa wanakitaka wao wanaaidi kupambana na wananchi wenye maumivu makali mioyoni mwao ambayo hayajapata tiba.
Wapeni wananchi KATIBA MPYA hii ndio Dawa ya kukomesha machafuko vinginevyo hamtakuwa salama.
Jiulizeni Mlimuua Ally Kibao, Mlimuua Alphonce Mawazo kwa kumkatakata kwa mapanga na Mashoka yaani kifo cha kutisha, Mkamteka Mdude Nyagali Damu yake ikatapakaa Ardhini, Mmemteka Deusdedith Soka, Mkamteka Humphrey Polepole damu yake ikatapakaa Ardhini mmeteka watu zaidi ya 200 kabla ya uchaguzi.
Hayo yote hayakuwafanya watanzania waogope na hawakuogopa kwa sababu hayakuwapa walichokuwa wanataka, ambacho ni mateka wote waachiliwe huru, Tume huru ya uchaguzi, Katiba Mpya,Mahakama huru na Bunge Huru.
Kwahiyo Serikali ya Samia Suluhu Hassan inataka damu za watanzania zaidi ya 3000 ziende bure? Wakenya walijenga nchi yao kwa Damu ya zaidi ya watu 1500.
Leo mmeelekeza bunduki kwenye vichwa vyao, matumbo yao na miguu yao mkawauwa kama panya, msidhani mmetibu tatizo bali mmeongeza tatizo.
Wapeni wananchi wanacho kitaka kwani awamu ijayo hawata choma moto mali za umma bali watawachoma moto wale waliopuuza kilio chao cha muda mrefu.
REPOST
Imeandikwa na
Twaha Mwaipaya.
Share isomwa zaidi.
TUTAKUWEPO🫵😎
Impunity is not immunity.
Haki itatendeka tu, Rais @SuluhuSamia unatumia vyombo vyote vya dola dhidi ya chama chetu na kiongozi wetu. Kwasababu ya uoga wa kushindana, kwasababu mheharibu uchumi wa nchi yetu, kwasababu serikali yako haina majibu kuhusu usalama wa watu, vijana wanatekwa wanauwawa na kupotezwa. Wewe Rais na serikali yako hamna majibu kuhusu ajira kwa vijana wala hamna mpango na uwezo wa kuleta ajira.
Serikali yako inaongoza kwa ufisadi na rushwa za kutisha.
Mnaogopa hayo inabidi Mtumie mbinu ovu kumnyanyasa Lissu
Kitu muhimu cha kukumbuka ni kwamba hakuna kinga ya kutenda uovu.“impunity is not immunity “
Watanzania hawatakubali na bado tunasisitiza #NoReformsNoElections tutaenda hatua zaidi kuhakikisha madai yetu yanasikilizwa na yanafanyiwa kazi.
@IAMartin_ Kadiri unavyojua undani wa mambo nchini, ndivyo mzigo unavyoongezeka. Wasiojua huishi kwa furaha ya muda, lakini ukweli hauepukiki siku ikifika, uhalisia utabisha hodi.
@MariaSTsehai Kikatiba, kuvunjwa kwa Bunge maana yake wabunge wote wanapoteza vyeo vyao mara moja, akiwemo Spika. Mawaziri wanaweza kuendelea na majukumu yao kwa muda kama “caretaker government” hadi serikali mpya iundwe, lakini hawana mamlaka mapya ya kufanya maamuzi makubwa.
@MariaSTsehai Hatutakubali hata chembe ya njama dhidi ya Tundu Lissu. Yupo mikononi mwa dola, hivyo serikali na Magereza wanabeba dhamana ya maisha yake kwa asilimia mia. Jaribio lolote la kumdhuru litachukuliwa kama shambulio kwa wananchi wote na hasira ya taifa hili haitazuilika.
‼️🚨TAHADHARI NI BORA KULIKO KILIO - LISSU MSIMGUSE🚨‼️
Tokea jana usiku watu mbalimbaki walinitafuta DM kuhusu wanachodai ni mpango wa kumpa sumu Tundu Lissu akiwa gerezani wengine wakisema wamesikia unabii ila nimewaambia haiwezekani maana ni njama ya kipumbavu!
Ila leo kuna chanzo moja huwa ananitafuta nadra lakini ameniletea ujumbe kuwa hii taarifa si ya kupuuza kwani ni kweli ipo na ya taskforce na si Magereza - amesisitiza niweke kama tahadhari hadharani hata kama siamini ili wazalendo ndani ya mfumo washtuke! Wazuie!
Mi bado sitaki kuamini kwamba @SuluhuSamia unaweza kuwa so desperate! Na kama kweli kuna njama ya kikundi chochote basi ABORT ❌
Lissu kwa sasa hata akikohoa tuna hold accountable serikali na magereza! Hakuna mtu anaweza kukubali au kuamini kuwa Lissu anaweza kuugua ghafla na kufa!
Pili Magereza wahakikishe hawapokei maagizo wala lolote - walikana juzi kwamba hakuna njama kama hii sasa wajue hii narrative ipo na watapeleka nchi pabaya sana! Watalaumiwa wao so wawe makini mno!
Mwisho kabisa wajue kuna Mungu pia!
Ghadhabu yake juu yenu itakuwa kubwa sembuse hasira ya Taifa nzima!
Najua kesi imekwama maana mashahidi wa siri wamechomoka ila sasa kilichobaki mwachieni Lissu na fanyeni reforms
#FreeTunduLissu
@indykaila@OfficialBHAFC@ManUtd 🇨🇲 Onana is showing exceptional patriotism not just for his country, but also for his club. If Baleba gets signed, this could be a smart investment for Man United, both now and in the future. 🔥
@IAMartin_ TAL ni alama ya uthubutu katika kizazi cha woga. Amechagua kusimama imara badala ya kupiga magoti, na kwa hilo historia haitamsahau. Mapambano yana gharama, lakini mwisho wake ni ushindi wa haki.
@Fefe_doll 🤣 Dunia inaungua, watu wanapambana na life cost, wewe unamix asali na karafuu kuteka roho ya mtu asiyejua hata password ya moyo wako! Shauri yako, maisha hayana rehearse! 😅💔💸