✍️ JUST IN ~ Hii ndio Azam FC iliyoshinda juzi ikiwa 10 man down?.
-
✍️ Hakuna mipango. Timu haitengenezi nafasi. Wanacheza kifadha sana. Hakuna spirit. Walistahili kufungwa hata 5.
✍️ JUST IN ~ Ali Kamwe: "Uzuri ni kwamba ng'ombe hata akonde vipi hawezi kuwa kama mbuzi. Sisi mabalaa yote tunayopitia msimu huu, hatuwezi kutoka kapa".
-
✍️ Remind: Yanga amebakiza ushiriki kwenye NBC tu. Ana mechi na Azam FC, TRA United na JKT.
✍️ JUST IN ~ Simba SC wanashika nafasi ya 10 kwa ubora Afrika wakiwa na pointi 38. Yanga SC nafasi ya 12 wana pointi 35.
-
✍️ Masandawa wanaongoza wakiwa na pointi 68. Al-Ahly nafasi ya pili 66.
✍️ JUST IN ~ Chama ni mchezaji wa ajabu, amekuwa hapa kwa muda mrefu. Kwa upande wangu sio suala la kunifananisha naye, ila ni kupata ushindani binafsi. Nishindane mwenyewe," amezungumza Allan Okello.
✍️ JUST IN ~ Sijawahi kuamini kuwa Singida wapo kuwatimizia Yanga SC malengo.
-
✍️ Singida ipoteze gharama 'training session' ipoteze gharama usafiri, gharama maandalizi yote kisha ije ifungwe kwa kutimiza malengo ya timu fulani 'BIG NO'.
-
✍️ Mentality za Uyanga Usimba.
✍️ JUST IN ~ Baada ya Chama kutoka. Simba SC wameshindwa ku-dominate eneo la mwisho, Timu haikai na mpira final area. Ubunifu unapungua pia.
-
✍️ Hii Barker anapaswa kuichukuwa kama 'assignment' aifanyie kazi. Chama mchezaji bora mara 5 mfululizo🔥🙌🙌.
✍️ JUST IN ~ Sema Simba SC wakikusachi hatari🔥🔥. Unaweza kuhisi wapinzani wameiba nyara Msimbazi.
-
✍️ Nimependa reaction ya Steve Barker baada ya kutanguliwa. Jamani hii Simba SC iko sawa acheni utani. Wamekamilika.
✍️ JUST IN ~ Mwandishi: Umejipangaje kuelekea mchezo wa Azam FC.
-
✍️ JULIO: Wee ulitaka nijipangaje zaidi ya mazoezi tuliyofanya, basi nitakuja na mapanga na marungu.
✍️ JUST IN ~ Yanga kubwa sana Afrika. Sidhani kwa ukubwa wao kama walishindwa kusaka watu wa graphics.
-
✍️ Wameenda kui-command CHARTGPT, mwisho uhalisia umepotea. GPT huwa haipatii kila kitu. Kibendera kimekaaje hapo?.
✍️JUST IN ~ Kuna mdau ame-comment kwenye post yangu anauliza mbona Yanga SC hawajamtangaza mkandarasi wa ujenzi wa uwanja.
-
✍️ Pia gharama za ujenzi hazijatajwa. Nimeshindwa cha kumjibu. Mjibuni.
✍️ JUST IN ~ Simba SC wanapanga kukamilisha uhamisho wa kiungo Neo Maema kutoka Mamelodi Sundowns kwa mkataba wa kudumu wa miaka miwili.
-
✍️ Simba SC wamevutiwa na mwendelezo wa Maema. Vita kubwa ipo Afrika Kusini, Orlando Pirates na vilabu kadhaa vinamhitaji Maema.
✍️ JUST IN ~ Kwa mwenendo huu, Huyu naye ahesabu siku tu, anaweza asimalize msimu kabisa.
-
✍️ Tupo hapa. Moalim ajiandae tu, akija kutoa sare au kufungwa mechi yoyote baada ya leo dhidi ya Dodoma safari itamhusu.
✍️ JUST IN ~ Watu wanaohusika kufukuza hawa makocha 'actually' sio makocha 'by proffesional' wala hawana taaluma ya kufundisha.
-
✍️ Mimi mmoja niliyemtetea sana Folz na nilipinga kufukuzwa. Ajabu et kocha anakupa matokeo unamfukuza mpira hauvutii.
✍️ JUST IN ~ Timu ya watu. Timu ya wananchi. Ndani ya saa 1 tu ishachangwa milioni 7, imagine.
-
✍️ Tukienda kwa wastani huo maana yake mpaka saa 12:30 itakuwa ishapatikana Mil 30/-.
✍️ JUST IN~ Mkataba wa mauziano ya Eberech Eze, Crystal Palace watapewa bonus ya Paundi milioni 10 endapo Arsenal watashinda EPL.
-
✍️ Game ijayo Man City anacheza na Palace. Arsenal anamaliza na Palace.