Shoutout kwa ndugu zetu wa mkoani wanaotuagiza vitu Kariakoo afu,
1. Hawatumi hela na gharama za kutoa
2. Hawatumi nauli
3. Wanakulazimisha uende na daladala
4. Ukiwaambia uko busy wanakulaani
TUNAWAPENDA SANA
Bila Shaka umewahi kukutana na Video ads katika kuperuzi mitandaoni. Ni zipi faida zake? Ni vipi zinatengenezwa? Wanawake @LPDigitalTZ wamejifunza kuhusu Google Ads katika Darasa la Digital Marketing.
Halikuwa darasa la kukosa.
#DigitalSkills#DigitalTanzania#MitandaoNaSisi
It's time to change the discourse to systemic transformation for care work that disproportionately falls on women and girls.
I admire our experts who are pushing the limits for policies and action.
Unapokuwa unasali usiache kumwambia Mungu akukutanishe na watu wako sahihi, akukutanishe na DESTINY HELPERS wako. Kuna baadhi ya vitu vinachelewa kutekelezeka katika maisha yako kwasababu bado hujakutana na watu wako sahihi wasaidizi wa kusudi lako.