@kirigitim Automatic za pedal 3 brake accelerator na clutch na pedal 2 brake na accelerator hii inakuja na clutch sevor ya umeme inayofanyakaz kwa mfumo wa umeme ata brake fluid unawekea nyuma kwenye gearbox wakat hii nyingine inakuja na clutch sevor la kawaida linalotumia upepo na mafuta