@derc2323@IamGabby_01 Mwanzo ulikuwa unashangaa davoo wa gavoo anakuwaje na namba fake! Then unasema hata wewe unao ndugu zako wana namba zaidi ya nne lakini mara nyingi mchana wanatumiaga za gavoo 😂🫵🏾
Ila Manzi wa Arusha jau kinoma. Juzi nimeingia Chuga, nikasema nisipoe na safari niende gym pale Suble Square, Kisongo.
Nikiwa napiga tizi, akanifata sister mmoja hivi kuomba msaada kwenye Squats(mazoezi ya miguu).
Nikamulekeza na kum spot hadi akamaliza. Nikampangia na mazoezi mengine ya viungo ili atoe fatigue na muscle cramps.
Wakati nacheck out, akaomba namba awe ani update mazoezi niliyompa. Nikamwambia poa, na kiutani akasema atanirushia HELA ya Maji, nikamjibu tu; Usiwaze Tajiri yangu. I do it for the love of game. Relax 🤝
Jana mchana naona miamala inaingia, ikabidi nishtuke . Kucheki ametuma kama 300k eti nikaji spoil🙌. Wakuu, sio Mtego huu? 🤔
Na haya ndio MAFUNZO wanayopewa huko Jeshini kwamba "MAANDAMANO hayaruhusiwi".
Madogo wanajiona wajanja sana na hizo gwanda hawajui wenzao wanatufungulia mageti ya mahospitalini huku (SUMA JKT).
Wanazuruza mitaani usiku na mbwa wakati sisi tumelala.