Wakati mwingine huwa tunakosa baraka za Mungu kwa mambo madogo sana. Mfano Kondakta kasahau kukudai nauli na wewe una kausha. Ile ni haki yake sababu umetumia huduma. Usichukulie poa.
Nilipata nafasi kumsalimu @samatta77 jana jioni nyumbani kwake Genk. Nimefurahi kuwa anaendelea vizuri na anapambana kuhakikisha anaendelea kukuza nchi yake na yeye mwenyewe. Ana mawazo mazuri Sana ya kuendeleza soka la Tanzania. Mungu atamsaidia Samata wetu Watanzania
Yani miaka yoooote hii nimekuwa naangalia mpira,jana ndio nimeona kwa mara ya kwanza beki ana’dive wakati anakaba..Smalling ni kiumbe wa kipekee kabisa.Hata kukasirika sikuweza kwa kweli,Alhamdulilah.