@NtanduYasin@MarekaMalili Mtu akikuambia hana hela
sio kwamba hana kabisa, ni kwamba hela aliyonayo Ipo fixed kwenye budget yake.
Haipo ya ziada ya kukupa wewe
Paid with bloody money to whitewash the truth? We saw what happened & we will never forget.
You have no moral authority to speak on behalf of our fellow Tzanians whose lives were lost.
'What Happened On October 29?' premieres next week in the following cities:
Tuesday May 26 - Accra
Friday May 29 - Dar es Salaam
Sunday May 31 - Nairobi
Monday June 1 - YouTube General Release
https://t.co/vTAHZVSlCH
Dear Entrepreneur, People want you to fail because it helps them to justify the risks they never took. Because your courage makes them uncomfortable.
Keep Walking. Keep Moving.
A business without records is a rumour. Write everything down. Sales, expenses, debts, stock, suppliers, customers and losses. Data protects you from emotional decisions.
@Captain_Josh47 Heka 3 Zina wastani wa miche 3300
Ambapo mche mmoja unaweza kukupa 5Kgs za Cherry kwa mwaka
Je unapataje gunia 300+ baada ya kukausha kahawa ? 🤔
Natamani ifike siku na wewe upate haki yako, yaan tutoke kwenye hii sintofahamu🤲🏻 Mungu nisikie na mie kilio changu. Na amini wewe pekee ndio mtenda Haki. Simama na sisi kwenye hili. Ni zito sana kwetu🙏🏼💔
Nikisikia hizi habari za watu kutekwa najisikia vibaya sana. Watu zaidi ya saba mnakwenda kumteka kijana asiyekuwa hatari kwa usalama wa nchi nyumbani kwao mbele ya familia yake? Mnaelewa kweli trauma mnayotengeneza kwa hizi familia? Mnajua chuki mnayoipandikiza kwa jamii? Watu waliomteka Damour Nyakairo, @Ninja_Damour muachieni huko mafichoni aendelee na maisha yake. Hatutaki kuona kijana mwingine anatekwa na kupotezwa. Hatuwezi wote kufikiri na kuwaza sawa. Taifa letu litajengwa kwa msigano wa mawazo. #FreeNinjaDamour
Idadi ya watu 500 si namba ndogo, ni familia, ndoto, na nguvu kazi ya taifa iliyopotea. Kukosekana kwa hatua madhubuti baada ya ripoti hii ni dharau kwa utu wa hawa watu. Taifa linahitaji majibu ya kuridhisha.
Kuna tabaka la watu walioshika madaraka ambao kwa namna moja au nyingine hawaamini uhai wa watu nje ya tabaka lao na wapendwa wao ni uhai kama wa kwao.
Kuna namna wanaona binadamu wengine wako chini yao, ndio maana vifo vya maelfu wanavizungumzia kama mchanga au mawe
Hawashtuki
SAD STORY — Hii picha ni mtu, ni mshikaji, ni rafiki, ni kaka, ni shujaa; ni mwana ambaye ndoto zake zilizimwa kwa risasi.
Ni Daniel aka Lissu wa Kitaa. Alipigwa risasi akafa akiwa Ubungo.
Hii tunaijua sote – au, kama hujui, fahamu huyu ni Daniel aka Lissu wa Kitaa.
🧵🧵