kwa namna yoyote ile jitaidi sana maisha yako yawe ni yenye kutawaliwa na usiri
kwenye kila unalofanya,...dunia ya sasa binaadam tunachekeana tu usoni ila
moyoni chuki ni kubwa mno..😔
Takribani miez 9 bila mechi yoyote ya ushindani na haikuwa
rahisi mpaka kufikia hapa nilipo sasa.
Alhdulilah sasa hivi nipo fiti na nipo Tayari
kuipambania bendera ya nchi yangu na nembo ya timu yangu @Yanga1935
Watu wanaokuchukia wanaweza
kuwashawishi hata watu wengine wakuchukie, but the Good News is... Hawawezi kumshawishi Mungu aache kukubariki...Ijumaa Qareem🤍
Thamani ya kuomba kwako haipo kwenye kupanga vizuri maombi yako.
Thamani ya kuomba kwako ipo katika imani ambayo umeibeba wakati unaomba.M/mungu akatujaalie kher katika msimu huu mpya wa 23/24