@CrownMediaTZ Rangi mliochagua inawapa tabu sana hata kwenye graphics zenu mngebadili Rangi ya hiki media zingekuwa kama tatu Au nne asa nyie Rangi moja kama sale za msiba
@nulphin@Baraka__Mpenja Aiseeee machuki na uislam sema ndio napenda manazidi kufanya watu waujue kiundani na bado.... Hii ndio dini ya haki sio Hayo mataputapu yenu