PUNGUZA..!
Ukitaka kuachana na nzi tupa kwanza mzoga ulionao, Namaanishaa Ukitaka mafanikio punguza kwanza marafiki hewa, wanafiki na watu wasiyona maana kwenye maisha yako.
#mswahilifacts
#Sikia_mswahili
Hakuna kitu kizuri, kama kusomana tabia katika maisha yetu, utakuta kila kitu kinakwenda sawa, hapana mikwaruzano, furaha hutawala na kila mmoja atajua ni namna gani aweze kuishi na mwenzake kwa salama zaidi.
@MswahiliF