@fumbokhanJr Hao matajiri mlishawahi kupata nafasi ya kuzungumza nao kujua wamefikaje hapo au wamehustle vipi au ushaona tajiri asiefanya kazi na pesa zikaja bila kitu Cha kufanya tambua usione mtu amefika hapo anamiliki Kila kitu jua amepitia magumu na anapitia magumu Sana