@HusseinBashe Mkuu sisi vijana wengine ambao tayari tunafanya ufugaji na kilimo na tungetamani serikali itusaidie huduma ya kuchimbiwa maji tunasaidiwaje mhe
@fatma_karume Kuna kesi za talaka mambo yanayoongelewa ndani (mathalani mwanamke kwenda kusema mume hana nguvu za kiume au mwanaume kwenda kuongelea maungo ya mkewe) vinashusha utu na faragha. Kwahiyo shangazi labda kama wewe unataka majina yako yatokee. Ila si jambo kubwa la kujadili