Katika hili kundi la abiria:-
1. Kuna askari watakaolinda masanduku ya kura na hata kuruhusu kura feki ziingiie kwenye kituo vya uchaguzi.
2. Askari hao watakakikisha wanawatawanya wafuasi wa upinzani kwa mabomu ya machozi wakiandamana kudai maisha bora.
Kwenye hili kundi la abiria:-
3. Kuna watendaji wa mitaa ambao watamuwakilisha mkurugenzi kusimamia uchaguzi majimboni. Hawa nao watashiriki wizi wa kura.
4. Kuna walimu watakaosimamia pia uchaguzi.
Kwenye hili kundi lazima kuna makundi mengine yoyote ambayo kwa namna moja au nyingine yatashiriki kwa hila kutupatia viongozi tulionao sasa.
Lakini..
Baada ya uchaguzi
1. Yatanunuliwa magari ya gharama kwa kodi za abiria hawa ili kuwapatia wateule. Yale ya zamani watajiuzia yakiwa mapya kwa kigezo ni chakavu (Magari yatatelekezwa Kariakoo Gerezani kwa muda, yakiwa yameng'olewa namba za serikali kabla ya kuuzwa kwa bei ya kutupa kwa viongozi)
2. Mafuta ya petrol yatafika nchini kwa bei ya Tshs 1,120/= kwa lita lakini wateule watayawekea mlolongo wa kodi zaidi ya asilimia 100 hadi mafuta kufikia bei ya Tshs 2,400/= kwa lita.
Kodi hizi atakuja kuzilipa abilia yeyote aliyepo kwenye huu mjumuiko kwa kupandishiwa nauli na kuongezeka kwa bei ya bidhaa.
3. Kama abiria hawa wakipata janga la mafuriko au kuharibika kwa barabara, mteule atatumia helicopter kutemmbelea eneo lililoathirika (Hataki kukutana na abiria ana kwa ana)
4. Abiria huyu akianza kulalamikia hali mbaya ya maisha, ataambiwa ahamie Burundi na waziri wake wa fedha.
Lakini,
Haitachukua muda mrefu, muda wa uchaguzi utawadia tena.
Abiria huyu ataacha ubongo wake nyumbani siku ya uchaguzi, ili akamchague tena mteule huyuhuyu kwa hila.
Akirudi nyumbani ndio akili zinamrudia.
Anajikuta ana kanga mkononi,
While mteule akiwa tayari naked and erect ready for him.
๐ฆ๐จ๐๐๐ ๐๐ ๐ฆ๐ฎ๐๐๐ญ๐ญ๐ฌ = ๐ก๐๐ฆ๐๐๐ฅ ๐๐๐ฅ๐๐๐ง๐ข๐ฅ
Alipo ingia NISHER kwenye video production Everybody was like WOW
Tuliposema Ana video Kali kuliko adamu juma ,mkaanza Mara oh video zake Zina giza ,siyo mbunifu
Juzi kafa ,kila mtu NISHER ni Bora kuwahi kutokea๐
Tatizo la mwafrika ni kuwa akisifiwa amependeza ndiyo anaenda kujitizama kwenye KIOO
Akiambiwa,Hajapendeza/kavaa vibaya,haendi kujitizama kwenye KIOO kujua amekosea nini katika uvaaji huo
Hii mpaka kwa WASANII wetu ukimsifia atakufuatilia Sana ukimkosoa ,Wewe adui atajifunzaje
Sasa mnalipia ,Just to get a fucking Recognitions
Album Bora ipi?
Msanii Bora E.A kwa kipi?
Best inspirational single Which one?
Best Song writer ?
RAYVANNY , busy bulding Character, not his career,
Ule ugonjwa wa
"ninayo peke yangu, nimewahi peke yangu, wakwanza Mimi"๐ฎ
๐๐ฝZuhura ni kama kuna mtihani aliwahi kujipa mwenyewe katika muziki wake, Mtihani wenyewe ni "SUKARI"๐ถ....
Hii ngoma iliwahi kuwa ngoma ya Taifa na ilisumbua kwa muda mrefu sana tofauti na ngoma zingine za "Zuchu" ๐๐ฝ
๐๐ฝPia hii ngoma ndio inaongoza kwa kuwa na watazamaji wengi katika mtandao wa YOUTUBE kwa upande wa wasanii wakike ๐ค๐ฝ
๐๐ฝPia ndio itakuwa ngoma ya kwanza toka kwa msanii wakike bongo kufikisha Views "100M" maana mpaka hivi sasa ina "99M" ๐ค๐ฝ
NB: "SUKARI"๐ถ inaenda fikisha views "100M" na haikuwa kolabo ile ๐ ๐๐ฝ
Hapo tumejaribu kuiongelea "Sukari" tuu ila ukweli ni kwamba "Zuchu" ndio namba moja kwa watoto wakike, kuwa na "Monthly listeners 224K" kwa upande wa SPOTIFY sio jambo la spoti spoti wakuu ๐ ๐ค๐ฝ
Kongole nyingi sana ziende kwa Zuhura, mwanadada pekee anaeimba huku akideka๏ฟฝ๏ฟฝ๏ฟฝ๏ฟฝ๐พโโ๏ธ
"Zuchu~Sukari"๐ถ
#ParachichiFM
RETWEET IFIKE MBALI โ โ โ
Wengi wetu tumekulia kwenye familia ambazo tulikuwa tumechanganyikana na binamu zetu,wajomba, bibi ,babu lakini sasa tumekuwa watu wazima, hatuongei tena! Kila mtu sasa ana viwango vyake, matajiri wanakwepa simu kutoka kwa masikini na maskini wana tabia ya kujitenga ili kulinda utu wao.
Mikusanyiko ya familia ni matukio tu ya kufuatilia ni nani anafanya vizuri zaidi maishani na nani anafeli ndani ya familia. Sio tena suala la kuimarisha umoja.
Tumezika watu ambao walikuwa wakileta familia pamoja. Familia siku hizi sio kama ilivyokuwa zamani. Kulikuwa na wakati ambapo unaweza kwenda kwa bibi yako kula, kukaa na familia na kuwa na wakati mzuri nao.
Sasa hivi kila mtu anachagua anayetaka kushughulika naye. Mashangazi na wajomba huchagua ni watoto gani wa kujivunia. Ndugu na dada huwapenda marafiki zaidi kama familia.
Mabinamu wanasemana juu ya kila mmoja. Mababu na mabibi hutumia muda na wajukuu fulani. Tunakutana tu na kuishi kama familia wakati wa mazishi.Kidogo nisahau, pia tunafanya kazi kwa bidii ili tu tukiwapigia jamaa zetu wasikatae kupokea simu wakidhani tunataka kuwaomba pesa.
Ndugu wengine wanakuuliza Kwa nini hupigi simu na kuongea nao lakini pia wanasahau kujiuliza kama watoto wao wanapiga simu au kuongea na wazazi wako pia.Huu ndiyo, ni ukweli wa kusikitisha.
WASANII WA HIPHOP BONGO๐งต
Wengi wao ,hawaimbi uhalisia wa maisha yao , hivyo ni ngumu hata ku document
Lyrics zao ni zile:
-Me mkali Kama Fulani (U.S)
-check ninavyo tambaa
-Hawaniwezi
Full of FANTASY , wakielezea Struggle Basi ujue ni zile za kwenda STUDIO kipindi hicho๐
Hakuna cha Kizimkazi
Hakuna cha Chato
Hakuna cha Msoga
Hakuna cha Lupaso
Mfumo tunaochinjwa nao ni uleule, usikae ukajidanganya โAfadhali huyu, Afadhali yuleโ.
As long as kocha ni wa mfumo huohuo basi tutacheza hivyohivyo mpaka siku wachezaji wachoke waamue kudai Mfumo mpya.
@MarekaMalili Ulaya gan? Hkuwah ona game ya Newcastle vs Liverpool round ya kwanza Liverpool alikula umeme na wakat huo yupo nyuma gor 1 ila akafnya comeback na akashnda 2 zote aktupia nunez