Ndugu @ExMayorUbungo anatupitisha kwenye kisa cha ukweli cha kifo cha Naomi, ambacho ndugu Khamis Luwongo alimhadithia Bon Yai wakiwa Gereza la Segerea Dar!
Bon Yai anasema “Nimeishi naye Selo moja Segerea.
Kwa Mazungumzo yake hajaonewa wala kusingiziwa ila Jambo lake linamafundisho Mengi sana kuhusu Mahusiano na Ndoa” …
1.Somo la Kwanza Hamis walipendana sana na Naomi.
2.Hamis ni Muislamu na Mmakonde wa Mtwara lakini alibadili dini na Kuwa Mkristo.
3.Hamis alikuwa na Mgogoro na Mke wake swala la Kurudi nyumbani.
4.Mwanaume ndiyo alikuwa anachelewa kurudi nyumbani Saa 9,10 au alfajiri ya Saa 11 ndiyo anaingia nyumbani akiwa amelewa chakali
5.Mwanamke akapambana akashinndwa kumbadili Hamis hiyo Tabia.
6.Mwanamke na yeye akaanza Kukesha usiku nje kama Hamis naye anarudi muda wowote.
7.Siku ya tukio ni Hamis alikuwa ndani na Mwanamke ndiyo alikuwa amechelewa Kurudi nyumbani saa 10 za usiku
8.Hamis wakati anafungua Mlango alimuhoji Mke wake kuwa ametoka wapi usiku ule au ametoka kufanya Umalaya..?
9.Mwanamke alimjibu Mmewe kuwa Kama Hamis anaweza na yeye atoke akatafute Mabwana pia.
10.Wakati wote huu walikuwa Kibarazani hawajaingia ndani bado,Hamis alirusha Kibao ambacho hakikumpata Mwanamke
Ila Mwanamke katika Kukwepa akarudi nyuma na Kudondoka katika ngazi akapasuka kichwani na damu zikamwagika sana hasa mtu akiwa amelewa huku Hamis akishindwa kumpa msaada mpaka anakata roho
Hapo sasa Hamis anaanza kufanya kazi ya shetani Kujiokoa na Kesi…
To be continued…! (Part2)
"Siongei na pep, anahitaji kuniomba msamaha kwa sababu alinidharau waziwazi. Ikiwa huniheshimu, sikuheshimu"
Kutoka kushinda mataji matatu makubwa /treble pamoja na baadaye kuvua jezi yake ya nambari 9 na kumpa Henry
Ukweli halisi kuhusu Pep na Eto’o⤵️
Hakuna haki wala uwazi hata kidogo, Mimi ni mhanga na ni naweza kueleza. Inakuwaje kwenye kiswahili mniambie sijaverify vyeti halafu kwenye English mnichangue na muone vipo verified. Mumeninyima haki ya kupata ajira katika somo la kiswahili
@ajirapsrs Hakuna haki wala uwazi hata kidogo, Mimi ni mhanga na ni naweza kueleza. Inakuwaje kwenye kiswahili mniambie sijaverify vyeti halafu kwenye English mnichangue na muone vipo verified. Mumeninyima haki ya kupata ajira katika somo la kiswahili
Bro kama unafanya kazi na unapokea Take home kuanzia 500k hadi 1M, nipe muda wako nikupe wazo la kibiashara linaloweza kukuinua kiuchumi kwa muda mfupi.
Usitazame kiasi kidogo cha mtaji nilichokutajia ukaanza kubeza, wewe nipe muda wako kwa kusoma hapa hutatoka bure.
Somo kwa Boy Child.
Miaka kadhaa nyuma wakati Tanzania inafanya movement kwenye industry ya stand up comedy, huyu mwamba alikuwa jasiri muongoza njia.
Hii ilikuwa wakati ambao tunawaangalia kina Eric Omondi, kina Dr Hamo as the mirror.
🧵 Thread: ⬇️
Miaka kadhaa iliyopita, mwanadada anayeitwa Wanja Mwaura kutoka Kenya alikutana na rafiki yake waliyosoma pamoja shule.
Rafiki yake alikuwa amechanganyikiwa na maisha yalikuwa yamemchapa vibaya sana.
Soma zaidi: 👇👇