@MariaSTsehai@SuluhuSamia Kwani Watumishi wameanza kupewa kupata nyiongeza ya Mshahara leo? Acheni ujuaji shida yenu mmeona kile mlichotarajia kwa Mh. Rais hakijawa na badala yake Mama anaendelea kuuchapa Mwendo na Kuupiga Mwingi ikiwa ni nje ya matarajio yenu.
OKTOBA TUNATIKI
@SimbaSCTanzania Yaani kuna baadhi ya mashabiki wa Simba sijui mpira huu wameanza kuupenda baada ya Azam TV kuuonesha kwenye Media zao sijui. Kwa sababu mmekaa lawama tu as if mnafahamu kilichopo ndani ya Simba. @ahmed__ally alishasema suala la usajili liko palepale tatizo nini? Tubadilike
@SimbaSCTanzania Acheni kumkosea heshima @KibuDenis yule ni mchezaji mzuri sana changamoto anazozipitia ni changamoto za kila mchezaji na sio kupitia kwake changamoto hizo ndo aisweze kurejea tena kwenye ubora wake wa awali sio kweli. Kibu atarejea na hamtokaa muamuni
@Sisimizi3@SimbaSCTanzania @ousmane10_sakho Kasimama mbele ya Magwiji wa soka la Afrika, kakumbatiwa na Nahodha wa Senegal Sadio Mane kakumbatiwa na Kocha na Legend wa Senegal Aliou Cisse
Kafunga bao bora dhidi ya klabu bora moja wapo Afrika ASEC Mimosa kisha kaitwa jukwaani na kapewa tuzo na Gwiji wa mpira JAY JAY OKOCHA