JE! UNAIAMINI BROWSER UNAYOTUMIA?!
Ni watu wachache sana wanaojali usalama wao pindi wanapo tumia simu zao za mkononi au kompyuta zao, the rest "LIWALO NA LIWE"
Leo ngoja nikusanue japo ni kwa uchache sana umuhimu wa kuchagua browser salama na namna ya kutumia kifaa chako...
@TMnyama4_ watu huwa tunajidanganya sana kisa hatuoni reactions za moja kwa moja za Mungu ila ukweli kutenda dhambi kwa makusudi kunamuweka mtu kwenye danger zone zaidi ya anayetenda bila kujua
mchana huu nikiwa hosp flani kwaajili ya check-up nimekutana na familia moja...baba, mama na mtoto mdogo wa kiume nadhani ni 4yrs old. mama akawa anapaka lips stick dogo akataka na yeye akapakwa huku baba anamcheki tu.
ngoja baadae wazazi wapige yowe dogo akiwa delicious ๐