#ComouterTricks
Jinsi ya kutengeza QR codes
Ulishawai kujiuliza Qr code inatengenezwaje ? Au je unataka kujua namna ya kutengeza QR code yako wewe mwenyewe fungua video hii kujifunza sasa https://t.co/2dkVTtDG31
#Computertricks
Jua namna ya kubadilisha simu yako kuwa modemu ya internet
- Washa Tethering.
Maelezo zaidi au kujifunza mbinu hii hatua kwa hatua fungua video hii https://t.co/fIMa1aUanr
#Computer#trainingcourses
Jifunze production ya YouTube kupitia programu ya Camtasia inayotumika kutengezea video za YouTube na YouTubers ulimwenguni kote, hili ni somo la pili na la mwisho https://t.co/qGVq27uFrg
Kwa masomo zaidi ya kompyuta usisahau ku subscribe.
Jifunze kuitumia programu ya kutengezea video za YouTube, programu hii ndio inayotumiwa na ma YouTubers duniani.
Fungua video hii na usisahau ku subscribe ili kujua mengi kuhusu kompyuta yako;
https://t.co/Fz6iLZflIx
Computer tricks
Jua namna ya kuifanya kompyuta yako kuwa kifaa cha kupazia sauti- amplifier
> Right click spika
>Chagua recording
>Double click mic unayotumia kisha listening
>Tick "Listen to this de.." apply.
Au tazama video hii kujifunza kwa vitendo ;
https://t.co/on2EXafqCH
Computer tricks
KUWA MFANISI
Jua njia sahihi ya kuandika namba, masiku na miezi katika program ya Excel
Fungua video hii kujua na kwa masomo zaidi usisahau ku subscribe > https://t.co/GNhjunQea9
#Computer tricks
Unajua kuwa unaweza kubadilisha rangi ya window yoyote ya kompyuta yako?
Ndio ni raisi tu change them to > windows classic Kisha nenda > window color Kisha chagua window Kisha badilisha rangi nyeupe.
Kama hujaelewa tazama video hii;
https://t.co/JsILS7Bhoi
#Computer#tricks
Njia nyepesi ya kuandika siku katika #Excel
Andika neno #sun kisha kitanue kijumba chake Excel itakuandikia masiku mengine yote yaliobaki.
Kama hujaelewa au unatakujifunza zaidi tembelea channel yetu ya youTube https://t.co/8Ux3tneUxn
Computer tricks (maujanja)
Namna ya kutumia kompyuta yenye kibodi mbovu
Ndio unaweza kutumia kompyuta isio na kibodi na ukafanya kazi zako zote au kama unataka kuiweka ukutani kibodi yako angalia video hii;
https://t.co/8Ux3tneUxn
Computer tricks (mautundu)
Hivi unajua kuwa unaweza kui restart kompyuta yako pasina kuizima kabisa??!
Ndio Kuna njia fupi ya ku fanya komoyuta yako irudi katika ufanisi wake pasina kuizima bonyeza log off
Kwa masomo zaidi ya komoyuta subscribe;
https://t.co/SMGvFH2jfK
OFA JIFUNZE EXCEL BURE
Unapoomba kazi lazima utaulizwa kama unaijua Excel kutokana na umuhimu wake Kwa kuona umuhimu huo NK Online Studies imeandaa ofa ya somo hilo online.
Kujiunga tutumie ujumbe inbox au Comment hapo chini au tutumie ujumbe wako hapa >> https://t.co/wbwJiPBFIg