[Tukithirishe Kumuomba Msamaha Allah Katika Mwezii Huu Mtukufu Na Miezi Mingine]
Anasema Abū Hurayrah [Allah Amridhie]: Amesema Mtume [Swala Na Salaam Ziwe Juu Yake]:
إِنِّي لَأَسْتَغْفِرُ اللَّهَ وَأَتُوبُ إِلَيْهِ كُلَّ يَوْمٍ مِائَةَ مَرَّةٍ
Mimi Nina Mwomba Msamaha Allah Na Kutubia Kwake Kila Siku Mara 100
[حسن]
[مسند الإمام أحمد بن حنبل (٩٨٠٧)]
Ukishagundua kwamba chochote kinaweza kutokea Ugonjwa, Kifo, au kupoteza kazi, chochote kinaweza kubadilika kwa kufumba na kufumbua jicho, unakuwa Mnyenyekevu sana, Meza hubadilika, na hivi ndivyo Maisha yanavyoweza kuwa ya kichaa,
@amina_hafidh Msio n gharama nina sabuni za shaza nzuri za kuogea kutoka burundi ni za mimea kwa 2500 po
Ia nina chocolate na vanila showergel kwa 5000
Kindly nicheki 0714933102