EVs and clean energy innovations, our students and researchers are building solutions that matter. Thank you to the CEO of KeNIA, our Vice Chancellor, partners and all innovators for inspiring the journey from ideas to impact. #Innovation#Research#MUT#KeNIA#MadeInKenya
Proud to showcase the power of innovation at Murang'a University of Technology during today's Innovation Showcase & Project Pitching Session. From AI and digital justice to smart agriculture, health technologies,
During the visit, the Principal Secretary also commissioned a tractor and generator to support agricultural training and ensure reliable backup power for the campus.
The equipment, valued at KSh.9 million, was supported by the Ministry of Education.
The Principal Secretary, State Department for Higher Education, visited Murang’a University of Technology – Mariira Satellite Campus, where she inspected the ongoing construction of the Tuition Block, Swimming Pool, and Sports Complex.
kongamano la CHAKITA lilitamtishwa na naibu wa makamu wa chuo Kikuu cha Kiteknolojia cha Murang'a,huku akifurahia Maendeleo ya Kiswahili na kuwa mwenyeji wa kongamano hilo .
#CHAKITA26#MUTHostsCHAKITA#LughaYetu
Bonyeza kiungo kuona video👇👇👇 https://t.co/Neli5EcnhL
Wachapishaji wa TUNU wamesaidia kuzindua rasmi Tamthilia ya Almasi ya Nyota iliyoandikwa na mwandishi Carlos akishirikiana Na wadau wengine wa Kiswahili.
#CHAKITA26#KiswahiliKarne21#MUTHostsCHAKITA#LughaYetu
Bonyeza kiungo kuona video👇👇👇
https://t.co/zcn0SoDDh1
Siku ya pili ya kongamano imegonga mwamba, washiriki wakitamatisha mawasilisho yao kwenye majopo, ambayo wameraukia mapema hii leo. Na tumbuizo kutoka kwa jamii ya wakikuyu. Mawasilisho kwenye ukumbi sasa hivi yanaendelea.
#CHAKITA26#KiswahiliKarne21#MUTHostsCHAKITA#LughaYetu
Hapo jana, Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Kiteknolojia cha Murang'a aliweza kuwatunuku wageni wa kipeo zawadi kutoka CHAKITA. Baada ya Kikao, washiriki waliingia kwenye majopo kuwasilisha tafiti zao.
#CHAKITA26#KiswahiliKarne21#MUTHostsCHAKITA#LughaYetu
Siku ya kwanza ya kongamano imetamatishwa kwa maongezi ya maarifa kutoka kwa viongozi wa CHAKITA, watafiti na wahadhiri mashuhuri. Wajumbe walioshiriki katika kuendeleza taaluma za Kiswahili walituzwa. Ungana nasi kesho siku ya mwisho ya kongamano.
#MUTHostsCHAKITA#CHAKITA26
"Kiswahili kiwasilishwe vizuri katika sera za nchi, mahakamani na hata bungeni. Tujitwae jukumu la kukuza na kuhudumia Kiswahili ili kizidi kung'aa na kuenda mbele." Catherine Ndungo, mhadhiri wa chuo kikuuu cha Kenyatta.
#CHAKITA26#KiswahiliKarne21#MUTHostsCHAKITA#LughaYetu
Matumbuizo yamefanywa na wanafunzi wa Kiswahili wa Chuo kikuu cha Kiteknolojia cha Murang'a, wakiwakilisha chama cha Kiswahili, (CHAKIMUT ). Shairi zuri la Raphael Tuju, 'Kiswahili dafina yetu',densi ya chakacha na wimbo wa kitamaduni wa kimijikenda.
#CHAKITA26#MUTHostsCHAKITA
Kongamano hili limefadhiliwa pakubwa na wadhamini wafuatao;Wanachama Wa CHAKITA,Benki ya KCB, Gazeti la Taifa leo, Radio Maisha,Shirika la uchapishaji la Tunu, kampuni ya teknolojia ya Teknobyte,mradi wa kamusi za lugha za Kenya KENGLEX
#CHAKITA26#MUTHostsCHAKITA
Kongamano tayari limeanza, Na wageni mashuhuri kutoka sehemu mbalimbali wakiwemo viongozi wa Chuo Kikuu cha Kiteknolojia cha Murang'a na CHAKITA, watafiti, wahadhiri kutoka vyuo mbalimbali na wanafunzi waenzi wa Kiswahili, wamo ukumbini
#CHAKITA26#MUTHostsCHAKITA
Kongamano la Kiswahili la CHAKITA limeanza rasmi leo katika Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Murang’a. Wasomi na wadau wa lugha wanakutana kujadili nafasi ya Kiswahili katika elimu, utafiti na maendeleo ya jamii.
#CHAKITA26#KiswahiliKarne21#MUTHostsCHAKITA#LughaYetu