@neemalugangira@ManenoIzaak@maendeleoyajami@SuluhuSamia Nikuulize kidogo. Kwanini husemi kuhusu haki ya vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara iliyopokwa na Rais? Au huoni sehemu ya kushauri katika hilo? Hujui viti maalum vya mchongo vina mwisho na utahitaji kugombea jukwaani? Utajengw vipi uwezo kama mikutano haipo? Unajielewa?