Nashindwa mbona Leo ni Sunday na hakuna makelele huko nje ,yaani nimelala hadi saa tano,naenda moja Kwa moja kuwasha bulb,kumbe ni stima hakuna,ndo maana hii kanisa ya mabati inakuanga hapa imetulia hivo๐ shukran @KenyaPower_Care
Na vijana hii kitu mnaskia inaitwa mapenzi,hii nataka mkae ngangari nayo. Manake hii kitu mkichesa,mtaadhirika mbaya sana. Hii watu inaitwa wanawake,lazima ujue kusoma meter yao,otherwise utaona kile kalonzo aliona kule satafrika kwa sangoma. Kitu ya kwanza usiwahi uliza mwanamke โama nakusumbua?โ, wewe ukiona nikama unamsumbua,jikaze na usitafute yeye,kama hatakutafuta jua hapa mambo ni luwere luwere. Ulikua unamsumbua
Huyo inataka unaGachagua yeye,yani unatwanga yeye block ata asione DP,alafu chukua 150 kwa savings teremka githurai mahali inaitwa Airport,chukua flight,toa hiyo kutu inakusumbua. Kitu ya pili,Mwanamke ukiskia anakulilia tushida twa upus,mara ooh I have seen cute dress,mara ooh theres this phone Iโve seen,ujinga isikuingie udhani wewe ndiye yesu wa kuokoa watu wako na shida. Kama yesu angetaka akue na hiyo kitu,angemtumia pesa yake.
Sasa hapa inatakanga unaambia yeye โthats niceโ . Alafu akiona humuulizi kama anataka umnunulie,ataakuuliza kama utamnunulia, mwambie โnitaonaโ. Just that. Alafu jioni omba yeye mzigo,akikunyima ujue umeponea mtego. Juu ata kama ungenunua iyo mavitu ya ughasia,hungepewa kitu. Chukua 150 ingine teremka githurai,chukua flight,unarudi nyumbani ukiwa sober.
Vijana mimi nataka mjue kuepuka hii mitego,sisi hatukua na watu wa kutupea hizi siri,tumeangamia namna atari sana
Ukiwa mjanja then unajuanga hawa madem wanaendanga church on Sunday wanakuanga very reliable, unaweza wapeleka kejani direct. Hawananga mambo mingi, bora tu upike lunch, you will be swimming there.