Jamani CCM ni dubwana kubwa danaa
Ukiona watoto kama hivi wanavalishwa kijani ndio ujuwe kuwa chama cha Mapinduzi ni tanuli la kufua viongozi kwa hiyo swala la viongozi kwenye chama cha Mapinduzi hakuna cha baatisha
Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dkt Samia Suluhu Hassan akimsikiliza waziri wa mifugo na uvuvi Mh Abdallah Ulega kuhusu vifaa mbalimbali vya kisasa vya uvuvi vilivyotolewa kwa wakazi wa kilwa leo tarehe 19 septemba 2023
Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dkt Samia Suluhu Hassan akiambatana na waziri wa mifugo na uvuvi mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Bandari ya Uvuvi kilwa masoko mkoani Lindi leo tarehe 19 septemba 2023
Rais ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dkt Samia Suluhu Hassan Pamoja na waziri wa Uvuvi na mifugo Mh Abdallah Ulega katika uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Bandari ya Uvuvi kilwa masoko mkoani Lindi leo tarehe 19 srptemba 2023
Hapa wajuzi wa mambo wanasema ziara ya Mh Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeenda kuchochea ukuwaji wa uchumi wa buluu mji wa Kilwa binafsi naona tunapiga hatua kukimbilia Uvuvi wa kisasa kwa kuwa na boti za kisasa zenye uwezo wa kufika deep sea
Uwekaji jiwe la msingi Bandari ya Uvuvi ya Kilwa Mkoani Lindi.
Dondoo;
1. Ina urefu wa meta 300.
2. Inaweza kuegesha meli 10 za uvuvi kwa wakati mmoja.
3. Ujenzi umefikia asilimia 21.
4. Ujenzi utakamilika Desemba 2025.
5. Kutakuwa na eneo la kuhifadhi tani 1,000 za samaki kwa wakati mmoja.
6. Ujenzi utagharimu zaidi ya shilingi Bilioni 266.
7. Rais Samia amekabidhi boti za uvuvi 34 kati ya 160 zilizotolewa kwa mkopo usio na riba kwa wavuvi.
8. Boti zote zina thamani ya shilingi Bilioni 11.7 na zinakopeshwa kwa wavuvi katika maeneo mbalimbali nchini.
9. Boti zina urefu wa kati ya meta 5 hadi 14.
10. Wavuvi na wadau wa uvuvi wamshukuru na kumpongeza Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutupia jicho sekta ya uvuvi.
#KaziIendelee
BANDARI YA UVUVI
Hakika serikali ya awamu ya sita dhana ya uchumi wa buluu inatekelezwa Kwa vitendo sasa tunaenda kutumia rasilimali za Bahari Kwa maslahi ya Watanzania
KAZI IENDELEE
Mama na wanaa
Jamani kama humpendi Mh Rais Dkt Samia Suluhu Hassan wewe utakuwa unalako jamboo
Ila ndio hivo ndugu yetu Aslay kapata natasi ya kunena na Mama