Hivi ni kweli kuwa sisi waafrika nchi maskini hasa watanzania tunaamini kweli utajiri tutaupatia kwenye mataifa yalioendelea ? Ni kivipi maana nchi zilizoendelea hasa wachina wanakuja kwenye hizi nchi zetu na wanatengeneza pesa ya kutosha kweli kwanini😁🧨
@MiriamMkanaka Hapa tunajifunza kuwa
Wakati mwingine Tatizo si kwamba umeshindwa, bali umechoka. Si kila hali ngumu inahitaji majibu ya haraka; zingine zinahitaji upumzike, ule vizuri, ulale na ujipatie nguvu upya. Baada ya hapo utaweza kuona mambo kwa mtazamo tofauti.
Usikate Tamaa haraka.
Ukisoma Story ya Nabii Eliya katika Biblia baada ya kushinda vita dhidi ya karmel (1 Wafalme 19) Malkia Yazebel alimtishia kumuua😂akapata hofu kubwa akakimbilia Jangwani huko
Akiwa amechoka na kukata tamaa akamwambia Mungu “Yatosha sasa chukua Roho yangu” 😊 akiwa na uchovu mzito akalala, Malaika Bwana akamtokea na kumwambia “Amka ule maana una safari ndefu” kuna muda hata uwe umechoka kiasi gani Piga Msosi Lala mengine yatakuja tu 🚶♀️Nisikie Amen huko nyuma 🙏
Nabeba zege elfu 70 nayoipata kila mwisho wa wiki 30 huwa ni yako kumbe mwenzangu unanichora tu..
Umeenda kuweka kijiti bila mimi kujua ili jamaa akutombe bila wasi wasi..
Jana umegoma kuja road tuonane ukisingizia unaumwa kumbe umeenda kutombwa tena.. KUMA LA MAMA AKO🖕🖕🖕🖕
Makampuni mengi sana TZ kwa sasa wanalia kimya kimya na uhaba wa madereva,,malorry yamekuwa mengi afu madereva hakuna na hao waliokuwepo wanachagua kampuni za kufanya kazi tajiri ukiwa mbahili unatoa posho na mshahara mdogo madereva wanakukimbia.
Hali si hali.
Baada ya msoto wa mda mref mwanangu kanshaur twende mgodini na kazi zilizopo ni zakuingia kule chini
Nimekubali tu ila siku ya kwenda hatonipata aisee ile kazi hapana 😂😂🙌🏼🙌🏼
Alizaliwa mwaka 1989 Kijiji cha Isamburu Mkoani Mara, akapata Masters degree Mzumbe University 2013, Alipata Degree ya Theology chuo kikuu cha BUGEMA Uganda, hivi Sasa anahudumu kama Muinjilisti.
Leo amewahasa vijana kwenye space juu ya mitandao salama, na watu kuacha Bullying
Life likikuvuruga, many of us kimbilio letu ni nyumbani.
Ukishakua mtu mzima una wajibika kutengeneza "nyumbani" kwa watoto wako pia.
At certain point in life, they will need it.
Leo ni miaka kumi toka nipate hasara shambani.
Ni mwaka 2016 nililima heka moja ya tikiti,baada tu ya miche kuanza kuchanua maua ndege wa ajabu walianza kushambulia majani ya tikiti .
Hapo ndipo niliwavulia kofia watu wa BARIADI.
Sato kama hawa ukitaka kuwafaidi, unawapaka viungo na limao, na chumvi, unamweka juani kidogo akauke na viungo viingie vizuri.
Then unamkaanga, asikauke sana.
Pembeni weka kachumbari yenye pilipili nyingi na kaugali kako laini.
Hapo ni mwendo wa kutokwa jasho tuu 🔥🔥
Uzee wangu wote miaka 30 na siku moja
Kitu nashukuru Mungu ni sijai lazwa hospital aisee. Ni ACHIEVEMENT kubwa sana kama Binadamu. Alhamdullilah
HAKIKA ANATOSHA ALLAH YEYE HANA MSHIRIKA🙏