Thrilled to share some news! 🎉🎉 I'll be speaking at Tropentag 2024 on Sep 10 - 13, 2024. I would love to see you there! - via #Whova Event Platform
https://t.co/Q9lfvTp2q8
Call for abstracts is open for #D4N2024 ⬇️
Submit by 16 August on
🌾Agriculture
📈 Markets & value chains
💻Digital innovations
��Nutrition education
🏥Health systems
🍽️ Diets
🚰 WASH
🛡️Social protection
⚖️Equity
🌍Climate
📜Policy
➡️https://t.co/48MgD1GNRH
@HKigwangalla@KwekaKweka Lakini ulikua bado na nafasi ya kupangiwa Supervisor mwingine, maana hilo halikua ni tatizo lako. Isitoshe ilikua ni haki yako pia. Kwanini wewe uliamua kuondoka?
Tumekuwa busy sana kutafuta pesa huku tukitunga misemo fake “Pesa ndio kila kitu “tukaachia malezi TV , Shule na wasidizi wa ndani.Tulisema nataka nihakikishe watoto wangu wanapofika chuo kikuu wawe tiyari na mashamba , nyumba na mali.
Tukifikiri hii ni highest achievement ktk maisha kuliko utu,tabia njema na heshima.Sasa tunaishangaa jamii imekuwaje huku wazazi tukisema watoto wa siku hizi hawana adabu na kumbe ni wazazi wa jana hatakujali vizuri.
Kaa chini siku moja tafakari wajibu wetu ktk familia zetu na utagundua kuwa tumenunua nyama nyingi na juice kuliko kujenga tabia za familia zetu. Ni kweli kwenye friji kuna kila kitu je watoto wetu wanajifunza attitude sahihi kutoka kwetu ?
Tuwe makini sana tusije kuwa na shimo la maji machafu lililojaa vinono mbali mbali kuliko maarifa kwa watoto wetu ktk fikra zao. Kuna tatizo kubwa ulimwenguni , kubwa kuliko mabadiliko ya Tabia Nchi na Dunia haioni wala haisemi.
Dunia inaangushwa na ukosefu maadili kuliko kitu chochote.Kizazi chetu tunaweza kupiga U turn kwani hatujachelewa sana.Kama tukitafakari kuamua kuwa walezi halisi na sahihi sasa.
Tuna confusion society sio kwa sababu hila za shetani zina nguvu ila ni kwa kuwa muda wetu hauko kwa Mungu na familia.