Ndugu yangu @abdulazackabdul usisahau ndio mida hii ya picha ya msosi ila yenye ugali dagaa usitutumie bebe wangu huwa haimvutii kabisa anavidonda vya tumbo nitumie ingine, Thanks
🇺 🇿 🇮 ����
Mzimu Wa..
"ANNABELLE" Katika Filamu Ya "ANNABELLE: Comes At Home", Movie Yake Isinge Kuwepo Kama Kisa Hichi Kisinge Kuwa Cha Kweli.
Mzimu Uliosababisha Mengi Maajabu, Ambayo Ni Visa Vya Kweli Kutokea! (twenzetu) 👇
Kama ni mtumiaji wa Simujanja yenye laini mbili, laini ya data ni vyema iwekwe kwenye SIM 2 hasa ikiwa ni ya 4G/LTE. Mpangilio wa laini za simu huchangia utendaji na menejimenti nzuri ya matumizi ya simu na data.
#ElimuKiganjani