Kuelimisha, Kuburudisha na Kushirikisha ndizo nguzo zangu.
TV & Radio Producer / Presenter. Founder Kwanza Production LLC based in Washington DC.SWAHILI-HOLLIC
@msangijeff Unan'tania eeeeeeee?
Unafananisha kifo na usingizi?
Tatizo lako unajaribu kumuelewesha colorblind tofauti ya rangi.
Anakuona wewe ndiye kipofu maana anaamini aonacho
https://t.co/ssv7pcKcyR
Leo katika mawaidha ya Ijumaa 2.2.2024 tunasikiliza hutba ya Sheikh Salum Mubaraka Sazi wa Masjid Abuubakar uliopo manispaa ya Iringa akitukumbusha kuhusu "Mabaya yanayo endelea."
https://t.co/GJnQZy1nSg
Katika mawaidha ya Ijumaa leo 29.12.2023, tunatazama hotuba ya Sheikh Shamsi Elmi wa Masjid Abuu Badeer uliopo Manispaa ya Iringa, akitukumbusha kuhusu "Yupo wapi (Allah S.W)?"
@aikande@MaajarMwa H.E Ambassador @MaajarMwa is such a wonderful soul. Loving and caring. She'd listen to you whenever she can. And ro me, that's huge. She is our Mama. I love, respect and cherish her.
@babbiekabae Ninalowaza ni umuhimu wa nafasi.
- Ni kumpunguzia majukumu Majaliwa?
- Ni kumuongezea uzoefu Biteko?
- Ofisi yake primarily itakuwa jimboni ama Wizarani ama kwa Waziri Mkuu?
- Atakuwa anafanya yaliyomshinda Majaluwa kwa ratiba ama ufanisi?
- Anaripoti kwa Majaliwa ama kwa Rais?