“Kila tukienda kwenye mikutano tunapewa Pesa na CCM ili ionekane Nchi hii kuna demokrasia, Hosptalini hakuna dawa ila pesa za kutulipa wanapata na sisi hatutaacha kuzichukua.” - HASHIM RUNGWE
Tundu Lissu ni aina ya wapambania haki wanaotokea mara chache sana kwenye jamii fulani.
Namfananisha sana na Yesu, sio kwa uMungu bali kwa uthubutu kwa kuwakabili wenye mamlaka bila kuhofia kulipa gharama.
Ni kundi la wakina Socrates, Gandhi, Mandela, and the like. 🙌🏿
Yale yale ya kujenga hospitali kama ile ya Mawenzi kwa fedha za umma kisha kusema “hapa ni kwa VIP, VPI msikanyage kabisa.”
Ni jambo la ajabu sana kufanywa na serikali!