Terrorism is a serious problem in Tanzania.
Never in the country’s history have so many citizens been arrested on terrorism charges in such a short period. In just two months, Tanzania’s illegitimate government has arrested more than 130 terrorists.
Tourists and investors should take notice. If the government itself claims that terrorism is spreading at this scale, it raises serious questions about the country’s stability, security, and the rule of law.
SWAHILI
Ugaidi lazima umekuwa tatizo kubwa nchini Tanzania.
Katika historia yake, Tanzania haijawahi kuwakamata raia wengi kiasi hiki kwa tuhuma za ugaidi ndani ya kipindi kifupi. Katika miezi miwili tu, serikali haramu ya Tanzania imewashitaki zaidi ya watu 130 kwa makosa ya ugaidi.
Watalii na wawekezaji wanapaswa kuchukua tahadhari. Kama serikali yenyewe inadai kwamba ugaidi umeenea kwa kiwango hiki, basi hilo linaibua maswali makubwa kuhusu usalama, utulivu wa nchi, na utawala wa sheria.
@jacksonmnyawam2 Kuna namna life style ya viongozi wote kwanzia Chini ibadilike kuishi kwa kujiahami..na mfano hupatikane kwa wanao husika, manake wote wanao chukuliwa hawaludi..
Life and Death ☠️.
🔥‼️NEWALA BODABODA WAKIWASHA🔥‼️
Taarifa kutoka Newala - bodaboda wameweka beria wao 🤣 nawaambia mambo kuchele kila kona ya nchi hapo bado siku 7 kufika sabasaba!
Taarifa:
Bodaboda katika halmashauri ya mji wa Newala leo tar 30 Juni wameamdamana kupinga manyanyaso ya Polisi ambao wamekua wakiendesha oparation mbalimbali bila ukomo.
Polisi hao wamekua wanaingia maeneo mbalimbali kama sokoni,Stand na maeneo mengine na kuzikamata pikipiki pamoja na wahusika au bila wahusika kuwepo wakati wa ukamataji na hatmae vyombo vyao vinakua vinashikiliwa na Polisi katika maeneo ya vituo vidogo na kituo kikuu cha wilaya.
Ili kufanikisha upatikanaji au kurudisha pikipiki baada ya kukamatwa, Polisi wa usalama pamoja na wengine wamekua wakilazimisha wenye vyombo husika kulipa faini zaidi ya makosa manne na huchukua kati ya siku mbili hadi tatu kwa wahusika kupata vyombo vyao baada kulipa faini.
Aidha polisi hao wamekua na utaratibu wa kuweka vizuizi katika barabara zote zinazoingia mjini hali ambayo imesababisha kudorora kwa biashara katika mji wa Newala kwakua bodaboda hao hulazimika kwenda kupata mahitaji ya wateja katika wilaya za jirani za Tandahimba na Masasi kutokana na usumbufu wa Polisi wa Newala.
Katika kudai haki yao,bodaboda walifanikiwa kufikisha ujumbe wao kwa mkuu wa wilaya Newala Mh Alhaji Rajabu Kundya ambae aliwaahidi kumaliza changamoto hizo na huku msisitizo ukitolewa kwa askari wasio na uniform kuacha kuendesha oparation hiyo hasa nyakati za jioni ambayo inapelekea usumbufu na uharibifu wa vyombo kwakua vinapakizwa na magari ya polisi pasipo utaratibu.
Nasema #TutaelewanaTu