WIMBO WANGU WA KWANZA NILIUTOA MWAKA 2007
WIMBO WANGU WA MWISHO NINAUTOA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA!!NA HUU NDIYO UTAKUWA WIMBO WANGU WA MWISHO!🙏
ASANTENI KWA KUWA NAMI NA KUNI-SUPPORT KWA KIPINDI CHOTE CHA MIAKA 13 NILIYOWAHUDUMIA KWENYE SANAA HII YA MUZIKI!
❤️❤️🙏❤️❤️
#Roma
Kama boyfriend hana mshahara wa 3M plus kila mwezi kaa chini utulie na ufanye kazi kwa bidii msaidizane maisha acha kumsumbua mkaka wa watu kumuomba vitu ambavyo hana uwezo navyo kisa rafik zako mtandaoni wamenunuliwa IST,wakati huo unataka ajenge,atajengaje na tamaa zako za fisi
Kuna mke kama gari la kuagiza moja kwa moja toka japani, yani anatoka kijijini, alafu kuna mke wa kumpata mjini yani kama gari umeuziwa na dalali, gereji kibao linafahamika fundi huyu kufungua gia box, yule kafumua buti 😂😂😂 ~bando la kicheko
Uchaguzi Mkuu Week Ijayo Tu, Mnashindwa Kukaa Chini Na Kujadili Masuala Ya Msingi Kuhusu Mustakabali Wa Taifa Letu Kwenye Uchaguzi Huu, Mnaendekeza Kujadili Mamipira Tu, Sijui Nyenyenyenyeee Thimba Kafungwa😏
Sasa Akifungwa Wewe Inakusaidia Nini!?
TWENDENI TUKAPIGE KURA!!
Bila Kukuomba Unamtoa Tu Mshkaji Wako Pesa Kidogo, Let Say 50K.
Mshkaji Anakuwa Excited Hadi Unajisikia Kumuongeza 10K.
Yani Ukimpa 50K Bila Kumuuliza Anakwambia Dah Mwanangu Hapa Naweka Luku Ya 10K, Then 22K nanunua Gesi! Inayobaki itanisukuma sukuma!
MAISHA NYIE, ACHENI TU!
Lile jambo letu sasa tukutane Dodoma Agosti 11, 2020 siku ya Jumanne kumsindikiza mgombea wa Urais kupitia NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja kuchukua fomu ya Urais kwenye ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Wananchi na wanachama wote tuelekee Dodoma.
#2020tunajamboletu
Lengo la kuwa na kilimo cha kisayansi na chenye tija ni kuhakikisha nchi inakuwa na ongezeko kubwa la mazao bora ya kilimo lakini pia kunakuwa na utoshelevu wa chakula pamoja na mauzo makubwa ya mazao ya kilimo katika nchi za nje.
#UtuItikadiYetu#pamojatutashinda#nanenane
Lengo la kuwa na kilimo cha kisayansi na chenye tija ni kuhakikisha nchi inakuwa na ongezeko kubwa la mazao bora ya kilimo lakini pia kunakuwa na utoshelevu wa chakula pamoja na mauzo makubwa ya mazao ya kilimo katika nchi za nje.
#UtuItikadiYetu#pamojatutashinda#nanenane
jamani naomba mchango. Rafiki yangu amelazwa baada ya kupata mshtuko wakati wa wikiendi. Alikuwa anapambana na hali yake alipokutana na gari la RC. RC alikuwemo ndani akiwa ametulia ndani ya foleni. Kilichomstua rafiki yangu ni kwamba hakukuwa na king'ora wala polisi.