Hakika unaliponya taifa kitendo cha DPP kuendelea kuwaachilia huru vijana wote waliokuwa ndani kutokana na yaliyotokea tarehe 29 Oct ni jambo zuri na la upendo kwa taifa
Mhe Rais mimi bado naendele kukuombea afya njema sisi vijana tupo ukituhitaji kukusaidia popote wilayani
MOYO WA IBADA
Shikamoo mhe Rais Dkt @SuluhuSamia awali ya yote namshukuru Mungu kwa kuendelea kukupa afya njema na katika ilo bado naendelea kukuombea azidi kukulinda
Kwanini nimeandika MOYO WA IBADA mhe Rais hekima busara uliyotumia ni kubwa sana asante kwa yote