@Aruatani Hizi ni gani Joe!? Mazee wanaume hua hatuna drama kama hizi. Nyote ni watu wazima. Elewaneni tuu. Mstiri mwenzako kesho na wewe mwengine ata kustiri.
@georgediano Ingekua ni mwanaume ame sema haya maneno angekua asha pata jina mpya from hawa watu - wana penda sana kuita watu "Predator"... Sijui kama yeye atafaa hio jina?!
@Eddie_Mugoh The biggest enemy of any woman today is another woman! Kwanza a feminista! Mrembo wako akianza ku mingle na hao watu ata korogwa akorogeke!
@BrandonFalco121 Accuse me falsely. Then jail her. Then I pay tax to feed her as a state guest? The answer is neither yes nor no! I will handle it my own way.
@RealTete8 Ati kotini? Hahaha... Sio kila kitu ita solviwa na koti. Hivi tuki kutana na mrembo wangu, tuka katiana na tuka dinyana adi tuka anzisha familia, koti ilikua hapo? Nonsense!