#HABARI Bei ya mafuta ghafi katika soko la dunia imeendelea kushuka ambapo leo Mei 30 imefikia dola 87.3 kwa pipa, ikilinganishwa na zaidi ya dola 112.9 zilizorekodiwa Aprili 7 mwaka huu.
Hii ni sawa na kushuka kwa takribani asilimia 22.7% ndani ya kipindi hicho, ikiwa ni mabadiliko makubwa katika soko la nishati duniani.
Hata hivyo, mabadiliko haya ya kushuka kwa bei ya mafuta ghafi yanaendelea kufuatiliwa kwa karibu nchini Tanzania, ambapo matarajio ni kuwa bei za rejareja zinaweza kuanza kushuka kwa hatua taratibu kutokana na mzunguko wa gharama za usafirishaji, bima na tozo mbalimbali kabla ya kufikia mlaji wa mwisho.
Serikali na wadau wa sekta ya mafuta wanatarajia kuwa iwapo mwenendo huu utaendelea, basi kuna uwezekano wa kupungua kwa shinikizo la gharama za nishati nchini katika wiki na miezi ijayo.
CC: Al-Jazeera
#EastAfricaTV
What a morning
Today is my graduation day and iโm already in tears๐ฅน๐ญ
My dad ironed my robe,suit and sash for me๐ซ (he complained abt it yesterday๐ but this was him) i love him so muchโค๏ธโค๏ธโค๏ธ