Kamwe usifanye mzaha kuhusu madhila aliyopitia mtu mwingine kwa sababu hujui kesho yako. Even worse katika zama hizi za ushetani wa Samia.
#DutyToKeepTheReceipts 🧾
Sema yule Mkamaria bhn anajua kuwauzi masnich wake.Kapiga hela kwenye kamari hajawaonyesha wakasema muongo.Jamaa yuko Dubenga anakula maisha masnich wake wanatoa milio kuwa ni mshamba.Mwanetu komaa hapo hapo siku si nyingi wataomba uwatombe uwape hela.
Askari wa Tanzania mliotumwa Zambia ondokeni huko mara moja
Na wewe Samia unazidi kuichafua nchi yetu, Dunia nzima sasa inajua unaeneza michezo ya kishenzi
"UNPD hawawezi kushinda uchaguzi huu, hakuna muujiza. Sasa wameamua kutumia “mbinu ya 🇹🇿.”.. Zambia si 🇹🇿 Hii ni Zambia
Wale wanaofikiri wanaweza kuingiza katika nchi hii mbinu inayofanya kazi ���🇿, hawawezi kufanikiwa kamwe."- Brian Mundubile. Mgombea Urais kupitia kupitia NRPUP
Jenerali Ulimwengu ahojiana na Jaji Joseph Warioba, wagusia mada kuu nzito,
-- Hali ya kisiasa nchini
-- Uwajibikaji 29 Oct
-- Jumuiya ya Madola
-- Maridhiano
-- #FreeTunduLiss
-- CCM
-- Wabunge CHAWA
-- Wananchi wanaishi kwa hofu
-- Vyuo vikuu kuna hofu
-- Mchakato #KatibaMpya unacheleweshwa
https://t.co/bk0VVl2swQ
Kwa mazingira ya sasa, namna hizi Tume zinaundwa na namna Chande alipendekeza, Hakuna Dalili zozote za kupata Katiba Mpya kabla ya 2030, ni mchakato wa zaidi ya miaka minne maana kuna Tume na kamati nyingi zinatakiwa kuundwa kabla ya mchakato wa kutafuta katiba na kuanza kuitekeleza.
Chande Alipendekeza
-- Kuundwa Tume ya Makosa Jinai
-- Kuundwe Tume ya Maridhiano
-- Kuundwe kamati Maalumu kwa ajiri ya mchakato wa Katiba Mpya
-- Kisha mchakato wa Katiba Mpya kwa kuuliza wananchi kupiga kura
-- Kuanza kutekelezwa katiba Mpya
Sasa ukiangalia hizo hatua hapo ambazo zimependekezwa na Jaji Chande na sasa wameanza tekeleza kwa kuunda Tume ya makosa jinai, ambayo imepewa miezi 5,
Kisha itakapokuja Tume ya maridhiano, ambayo kulingana na mazingira na ukubwa wa Tatizo, inaweza fanyakazi kwa zaidi ya mwaka mmoja.
Kamati maalumu ya Katiba nayo ikifanyakazi na kupata maoni ya wananchi, hiyo ni zaidi ya mwaka, mpaka hapo tumefika 2030 hatuna #KatibaMpya na utekeleza bado.
Hatutokuwa na Katiba Mpya tunaweza kuwa hatua ya mchakato wa katiba, hata utekelezaji wake ni ngumu kufanyika 2030, Hii ni kutokana na hizo Tume zinazoundwa na mchakato kutoanza sasa.
Pia kuna mambo mengine ya ajabu, leo tunakamata wanafunzi na wahadhiri? hivi kweli chuoni wazi wazi unaweza panga ugaidi? Siku hivi ukitamka mambo furani furani unaambiwa UGAIDI ? Hawa maofisi wanapigia simu kufungua hizi Kesi za ajabu.
Hawa mimi hawa watu waliwahi nipigia Simu na kuniamru kwamba zima simu yako, nikashangaa kwa sheria gani wananiambia nizime simu yangu? wakanizuia kwenda kushiriki mdahalo. Kuna simu nyingi sana za maagizo kutoka juu. Ukiuliza juu ni wapi, hawakuambiwi
Police, Watekaji, Wauwaji, Wadhulumishi mara wang'ate watu vidole, Kutupa Mazao ya Raia mtaroni Yote hayo yanafanywa na Police wa Tz, lakin hakuna tamko Wala kauli Yoyote Kutoka Kwa Rais Daaaah😢
Jenerali Ulimwengu ahojiana na Jaji Joseph Warioba, wagusia mada kuu nzito,
https://t.co/bk0VVl2swQ
WARIOBA : Hali ya sasa hakuna mazingira ya Maridhiano, kuna migongono tu ya Vyama vya siasa, na kama Maridhiano yatafanyika bila baadhi ya watu kushiriki, Hayo sio maridhiano tutakuwa kwenye tatizo lile lile, tumefika kwenye haya mazingira kutokana na jamii kutokuwa pamoja
Mzee Warioba anastahili ya HESHIMA ya kuitwa "MZEE WA TAIFA" Sio yule house boy wa Nyerere.
Mzee anaongea Fact kwa lugha nyepesi sana-sijui kwanini WAKOLONI WEUSI wanaweka pamba masikioni mwao.
#FreeTunduLissu
REPOST 200
Mother and Daughter at their family’s festival in Kizimkazi - using taxpayers’ money and praising themselves as if it is an achievement
Kama ni udikteta ndo huu
Yaani unamweka mtoto wako awe waziri haramu katika wizara ambayo haimhusu (Elimu si suala la Muungano so hiyo wizara ni ya Tanganyika) alafu mnajisifia kwa kukwapua pesa za umma kupeleka kwenu Kizimkazi mnaita “fursa”
Watanganyika kwenye mfumo mna akili za ajabu sana
Ila #TutaelewanaTu na #SamiaMustGo
Tanzania ya Mwalimu Nyerere iliyotoa watu na mali kupigania uhuru wa Afrika.
Tanzania iliyotoa ardhi yake kuweka vituo vya mafunzo wa wapigania Uhuru kwenye bara la Afrika.
Tanzania iliyosifika kwa kupigania haki za binadamu.
Leo Tanzania ndio inatajwa kwa kutoa mercenary kwenda kuvuruga chaguzi kwenye Nchi za watu wengine!!!
What a shame!!
Kwa hiyo wazanzibar walifurahia MAUWAJI ya haraiki ya October 29 ???? Hakuna hata mzanzibar moja alijitokeza akakemea huu ufirauni uliofanywa na hawa intarahamwe??? Huu muungano uvunjwe tu kila mtu afanye yake 😪😒
#TANZANIA: MMETAKA WENYEWE MAKESI MAKUBWA KAMA YA LISSU, ACHENI WATU WAYAJUWE, MNAOGOPA AIBU? - MADELEKA
Wakili Msomi, Peter Madeleka leo Agosti 14, 2026 akizungumza na Wanahabari amekemea vikali watu wanaotumia Mahakama kuzuia haki za watu wengine, amewataka wakome mara moja.
Aidha, Madeleka amesema kama wanawafungulia watu kesi kubwa kubwa kama za uhaini na ugaidi, watu kubambikiwa kesi na wengine wanawanyimwa dhamaa, Madeleka amehoji kwanini yasianikwe hadharani na vyombo vya habari?, "mmetaka wenyewe makesi makubwa (kesi ya ugaidi ile ya Freeman Mbowe na kesi ya uhaini ya Tundu Lissu), na mmenyima wenyewe watu kupata dhamana wanapokuwa wameshitakiwa na hizo kesi, mnaogopa nini?, mnaogopa aibu?.
Zaidi: https://t.co/olh8qHVehi
Biblia yangu inaniambia Yesu aliona kifo ni bora kuliko kutii upumbavu.
Alipopata nafasi ya kukutana na Mafarisayo na Masadukayo akawachana live.
Hata aliposimama mbele ya Pilato, hakumumunya maneno.
Hii ya kuheshimu washenzi walioshindwa kujiheshimu wenyewe tumekuachia.