@Twaha_Mwaipaya TANZANIA ni nchi hatari sana kwa sasa, ni vema WANANCHI tukachukua hatua istahiki za kujihami.
Police si salama kabisa. Uongozi wa nchi walitazame tena hili Jeshi.
#ELIMU Jamii ya watu wenye Elimu na kutambua HAKI, na wajibu wao kwa Taifa lao. Ukizingua utazinguana kweli.
Tanzania bado sana, Jamii yetu hata Asili yake sijui ni ipi!!
@swahilitimes MUHIMU haya mazungumzo yote hayana tija kwetu WANANCHI tunataka katiba mpya.
Tunahitaji kusimamia #Rasilimali za nchi sisi wenyewe.
Hakuna tena wa kumwamini, inchi inaliwa mchana na Usiku
#KIFO utamaduni wa kuwaombea vifo viongozi umerudi tena mtaani. Umeanza kipindi cha Uongozi wa MAGUFULI
Hasa alipougua waziri wa fedha wkt ule #Mh.philip Mpango. Na kujitokeza hadharani kuwa anaendelea vizuri.
Hali ilitulia, lkn sasa maombi yamerudi kwa kasi sana.
@lifeofmshaba#KATIBA tutadai katiba mpya kupitia Mitandao ya Jamii hadi lini?
Watawala wako kimya, muhimu kuidai katiba hivi sasa hakuna sababu tena ya kuzidi kusubiri.
#Serikali imepuuza wanaharakati ni muda sasa wa kubadili utaratibu.
#KatibaMpyaNiSasa
@HarryGodfirst@MjahidOsama Hakuna weledi, ni kuagizana km vile kukimbiza kuku.
Na hili liko katika taasisi nyingi za #Serikali.
Hii inapaswa mifumo iundwe upya nje ya kikoloni ambayo tumerithi.
Ukoloni bado unaendelezwa, kikatiba na kifikra.
@vicensiashule@ccm_tanzania Amina, ila wenyewe #UJUMBE HUU wameziba masikio.
Wako bize kuwateka vijana kupitia kikundi chao cha ULINZI kilinacholipwa kwa kodi zetu.
Mungu anawaona atashughulika nao tu!