Kila mtu anao uwezo wa kukupenda wakati mambo yako yako vizuri lakini siku yanapoenda kombo ndipo maji na mafuta hujitenga.
Na kwenye hili kwa vijana waoaji muombe sana Mungu akupatie mke ambae anaouwezo wa kuteseka na wewe hasa utakapopitia nyakati ngumu.
Huyo ur future wife vipi unamuona siku ukipata changamoto ya figo au kufirisika akiendelea kuwa na wewe.
Jitahidi sana kuusoma mchezo kabla mechi haijachanganya.
Nyakati ngumu ndio kipimo sahihi cha upendo📌