Feminists are miserable beings, horrible and despicable creatures. Don't pay attention to what they say gentlemen. Treat their words and long unnecessary paragraphs as you would've treated a pregnant woman's vomit. Ng'eno was 45 when he married a 21-year-old girl. Ng'eno was educated abroad and was rich.
He took his time to build his life as a man before thinking about settling down. He created wealth out of himself, and after securing the bag, he entered into the market & chose a very fine babes, who's well educated & brought up in a well organized family.
But according to FEMINISTS maths, NG'ENO WAS INTIMIDATED BY MATURE GIRLS. They will claim that Ng'eno went for young girls mbikoz he could not handle a MATURE woman who was over 35.
They will further claim that he just wanted small yellow yellow damsel so that he could manipulate. FEMINISTS can't believe that a man can marry a lady who is 23 years younger than him, and it raises no eyebrows.
Team Go Go Girl have been ululating,, congratulating Esther Musila & Betty Kyalo for bagging young energetic Ben Kumis who are capable of supplying high voltage electricity without an iota of blackouts. They even advised other career women to follow their footsteps of going for Ben Kumi.
Now boychild has realized his worth. They're no longer rescuing old & overused ceiling inspectors into marriages. Now they are calling us all manner of names including pedophiles for marrying young, fresh & intelligent Gensii.
Gentlemen, a man's life starts at 45, Ngeno has shown y’all the way. Don't be in a rush to marry, take your time & build wealth first, daughters of Agrippina will come later. And when you catch money Son? Wooooooi Nyasaye Konya the ceiling inspectors,, it's 24yrs and below. Tumsifu Yesu Kristo!!
Jamaa aliwahi kutupanga yeye ni mtoto wa kimasikini na Walichanga na rafiki yake Frank Knows milioni 6. Wakapambana hadi Vunjabei ikasimama.
Juzi tu kwenye msiba wa baba yake alituambia Baba yake alikuwa ni miongoni mwa matajiri wakubwa top2 waliomiliki maroli Iringa, na pia alikuwa na biashara nyingi sana.
Aiyaaaaa.....matajiri wa Bongo bana. 😂
Bakhresa alituambia alianzia Urojo, Usibishe Ulikuwepo🎁
Tukiwa O level mademu zetu darasani walidate mpaka wanachuo au advance na hata waalimu wakitusema sisi ni watoto wadogo. Tukiwa advance the same mademu walitukataa kwa kigezo tuna utoto bado.
Chuoni ndo usiseme hawataki hata kusikia habari za kudate classmates kisa ni watoto walitafuta sponsors ili waishi vizuri.
Miaka 6-7 mbele baada ya kuchakazwa vibaya na sisi tupo 30+ tumepata muelekeo wa maisha mademu hawahawa walitukataa wanaanza kutusimanga eti tusifuate watoto wa 18,19,20,21,22 eti tunataka tu watu wakucontrol tuwadate wao eti wako matured.
Mwanaume usikubali kudate au kuoa hawa wamama wa 25+ tulokuwa wote kwanza wameshachakazwa vibaya wengine hata uwezo wa kuzaa hawana tena maana wamemeza P2 za kutosha na kutoa mimba ziso idadi.
Kipato chako na miaka yako kwenye ubora itumie kwa wanawake wachanga kwenye game ufaidi vitamu
• Nilikutongoza .
• Nimekuona unastahili kuwa mke wangu.
• Nilikwenda kwa wazazi wako kuwajulisha nia yangu kwa binti yao.
• Nilitumia mamilioni ya mahari yako na bidhaa nilizopewa kununua kama orodha yako ya ndoa.
• Unakuwa jukumu langu kuanzia sasa.
• Sasa, sina budi kukuhudumia na kukulinda maisha yangu yote.
• Kwa hivyo, uko chini yangu, mdogo kwangu.
• Ni lazima uheshimu, utii na unyenyekee kwangu.
• Unazingatia mamlaka na uongozi wangu.
• Ninaongoza, Unafuata!
• Nikizungumza , wewe nyamaza!
• Sisi si partners!
• Sisi hatuko sawa!
• Mimi si mwenzako!
• MIMI NI MFALME WAKO!
Ukianza kufanikiwa mwambie mama yako apunguze kuwaambia watu taarifa nyingi kukuhusu.
Yes, yupo proud na wewe ila asisahau mama wa wengine pia wanatamani watoto wao wawe kama wewe!
Have patience , it wont work overnight , Let him work .! Have a realistic expectation .! Have faith my fellow Man United fans .
It will be painful but worth a wait : GGMU
Staa wa vichekesho Nchini Tanzania Sylvester Mjuni maarufu kama Mpoki, leo katika tukio la msiba la kumuaga Mchekeshaji MC Pilipili, ameonesha kushangazwa na kuhoji ni kwanini hadi sasa hakuna Mtuhumiwa yeyote aliyekamatwa kwa kuhusika na mauaji ya Mchekeshaji huyo licha ya taarifa ya Polisi kuonesha kuwa kuna Watu walimpigia simu Msaidizi wa MC Pilipili na kumkabidhi MC Pilipili akiwa na hali mbaya baada ya kipigo.
Akiongea wakati wa Ibada ya mazishi ya MC Pilipili Jijini Dodoma leo November 20,2025, Mpoki amesema “Sitaki kulisemea Jeshi la Polisi lakini nimesikiliza ile ripoti Mimi nilitegemea wakati tunazika leo na Watuhumiwa wapo Jela, siliingilii, naheshimu wanalinda usalama wetu na Raia lakini kama kuna Mtu alimpigia simu (Msaidizi wa MC Pilipili) akasema upo wapi tumlete MC Pilipili anzeni na yule mbona kuna Watu wanakamatwa siku moja tu, tuangalie usalama wetu sisi tuko pamoja”
“Lingine kwa upande wa Viongozi kuna kipindi pia MC Pilipili alipitia changamoto (msongo wa mawazo) lakini inaonekana kuna Watu walikaa mbali hawamjasaidia, baadhi ya Viongozi Wasanii wakiwapigia simu pokee simu zao, msiache kupokea tunawasaidia mpaka mnakaa kwenye hivyo viti, tunatumika nyinyi ni Rafiki zetu mfano mzuri Mheshimiwa Mavunde, Mwana FA kila shughuli anakuja lakini kuna Kiongozi akiona simu yako kama kaona msiba hapokei, pokeeni simu kuna wengine tunataka tuwape ushauri tu, asanteni”
Itakumbukwa wakati akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma jana November 19,2025 Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma Wiliam Mwanafupa amesema kuwa kabla ya kufariki saa 02:00 mchana, Msaidizi wa MC Pilipili Hassan Ismail alipigiwa simu na Watu asiowafahamu na kuomba wakutane na baada ya muda walifika Watu watatu asiowafahamu wakiwa na MC Pilipili ndani ya gari ndogo nyeupe na walimkabidhi MC Pilipili akiwa na hali mbaya na wao kuondoka.
#MillardAyoUPDATES