Hii podcast regardless wewe ni nani na unafanya nini,
ukiiangalia utajifunza vitu vikubwa sana, vitu ambavyo huwezi kujifunza sehemu nyingine yoyote
๐๐
https://t.co/LKljqrgDWn
@LoemaMassey Tatizo ni Aina ya Bima, ni kweli kuna bila flan maarufu ata kama una kwatwa 400k kwa mwezi, gloves tu za procedure( surgical gloves) haikavii
@MkulimaKante Inaweza kuwa nzuri but it will take time, kuondoka Whatsapp akilini mwa watu siyo kazi ndogo, psychologically whatsapp siyo tu platform but actual digital means of communication hata wale wazee wasio na ujusi sana wa mtandao wanaizungumzia midomoni mwao.
@lawcharsfx1 Mimi naonaa, market is dimensional, wewe kuwa trader wa aina flani ( style and No of pair) ni maamuzi na machagua ya mtu vile alivyoona vina fanya kazi kwake, kazi ya mentor ni kukupa roadmap tu lakini siyo akuamuliee uwe nani.
@Eric__Bernard There is a time i thought am different, nikajiuliza au nina changamoto ya akili nashidwa kutuliza akili yangu, later nikaja kujua this thing affect most of us especially youth, ndipo nikaanza upya kucheza chini, nikikubali uhalisia wa maisha uku nikijifuza kukua taratibu.