‼️DEREVA WA HECHE AUWAWA KWA SUMU‼️
Kwa msiomfahamu Suez Dani Maradufu ambae ni Dereva wa Mhe. Heche kabla hajawa Dereva wa Heche alikuwa dereva wa Baba ake Mhe. Heche.
Amefanyakazi kwenye familia ya Mhe. Heche kwa miaka mingi baada ya Baba ake Heche kufariki, mwaka 2015 Mhe. Heche alipochaguliwa kuwa Mbunge ndipo alimchukua Suez Maradufu ili awe Dereva wake.
Sasa turudi kwenye issue ya mauaji/kifo
Siku ya tukio Mzee Suez Dani Maradufu aliamka asubuhi kama kawaida akatimiza wajibu wake, na alikuwa ni mzima wa afya.
Kwa mujibu wa mtoa taarifa anasema kwamba siku ya tukio, kabla Mzee Suez hajarudi kulala mahali alipokuwa amefikia, kuna Vijana wa Abdul na Sumai wakiongozwa na mtu ambae anaitwa Mark
Walienda mahali alipokuwa amefikia Mzee Suezi, walijitambulisha kwa mmoja wa wahudumu kwamba wao ni maofisa wa Usalama, wanataka kuonyeshwa chumba ambacho analala Mzee Suez Dani Maradufu ili wafanye ukaguzi maana kuna taarifa wamepewa kwamba ndani ya iko chumba kuna vilipuzi ambavyo CHADEMA wamepanga kuvitumia kwenye Maandamano ya 7/7 na kwamba wanavigawa kila Mkoa.
Muhudumu alikubali, akaongozana nao mpaka kwenye hicho chumba kisha akawafungukia mlango, walipoingia ndani ya chumba hawakufanya upekuzi kama walivodai badala yake walipulizia vitu ndani ya chumba cha Mzee Suez kisha wakaondoka zao lakin kabla hawajaondoka walimwambia Muhudumu asiseme chochote maana akisema wao watajua tu.
So baada ya muda kidogo kupita, Mzee Suez alifika bila kujua chochote akaingia chumbani kwake kulala, ilivofika asubuhi baada ya wenzake kumkosa kwenye simu, walimfuata mahali alipofikia na kumgongea mlango muda mrefu bila mafanikio, ndipo ikabidi watoe taarifa Polisi ambapo walifika eneo la tukio, wakavunja mlango na kukuta mwili wa Mzee Suez upo chini damu zikiwa zimetapakaa sakafuni.
Alikuwa na damu mdomoni, puani na masikioni, Polisi walichukua mwili na kuupeleka Hospital ya Mkoa kwa ajili ya Uchunguzi.
Sasa kwa mujibu wa mmoja wa Vijana wa Abdul anasema kwamba hao wauaji waliompa sumu Mzee Suez ndo wale ambao gari yao ilipigwa picha Makambako wakati inafuatilia msafara wa Mhe. Heche so walifuatilia msafara tangu akiwa Lindi mpaka anafika Kigoma ila walikuwa wanabadili Plate number za gari ili wasishtukiwe.
Wauaji hao baada ya kufanikisha mauaji ya Dereva wa Heche, juzi mchana walirudi pale Lodge alipokuwa amefikia Mzee Suez wakachukua baadhi ya Wahudumu na kuondoka nao akiwemo yule ambae aliwafungulia chumba cha Mzee Suez ili kuzuia taarifa isivuje.
Mtoa taarifa anasema kwamba majibu ya Postmortem tayari wanayo tangu jana mchana wakati huo hata Uchunguzi bado haujafanyika, wamepanga kusema kwamba Mzee Suez alikuwa na mwanamke, alikunywa dawa za kuongeza nguvu za kiume, dawa zikamzidia na kusababisha umauti.
Ndo maana Polisi kwenye taarifa yao wanasema kwamba walimkuta na dawa, wakati dawa walizomkuta nazo ni dawa za kutuliza maumivu ya kichwa na tumbo, wanataja sana izo dawa kwasababu wanajua mwisho wa siku Report yao ya mchongo itasema ivo ivo.
So hata ile kauli ya IGP Mstaafu Simon Siro ambae ndo Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kwamba kifo cha Suez ni cha kawaida haikuwa bahati mbaya ndo maana hata hao MaPathologist walivofika tu Kigoma, wakaenda ofsini kwa Sirro kupewa maelekezo ya nini ambacho wanatakiwa kufanya.
#JusticeForSuezMaradufu
Abdul na Sumai kwani Mzee Suez Maradufu amewakosea nini kikubwa mpaka mkaona adhabu ambayo anastahili kupewa ni kuuwawa kwa sumu?
Mbona Mzee wa watu hata hakuwa na shida na mtu yeyote, alikuwa busy na kazi yake ya kumuendesha Mhe. Heche au kosa lake ni kuwa Dereva wa Heche?
Mnahitaji kumwaga damu za watu wangapi ili mtosheke, Oktoba 29 mliuwa waTanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi,
Tangu Nduli Idd Amin Mama aingie madarakani hadi leo mmeteka na kupoteza watu zaidi ya 400 na bado mnaendelea kuteka na kuuwa watu.
Watanganyika wenzangu, hakuna wa kutuokoa, tusiposema inatosha Nduli Idd Amin Mama na genge lake watatumaliza.
Julai 7, 2026 tusimame kwa umoja wetu bila kujali itikadi zetu, tuseme inatosha.
#77Tunatoka #7UP #FreeTanganyika #FreeTanzania
TAARIFA KWA UMMA
Kwa wale ambao mnaenda Mahakamani kwenye kesi ya Mhe. Lissu mnajulishwa kwamba kuna mabadiliko ya ukumbi wa usikilizaji wa kesi ya Mwenyekiti wetu, Tundu Lissu, inayotajwa leo asubuhi.
Saa 3:00 Asubuhi, Ukumbi Namba 1 wa Mahakama Kuu (Masjala Ndogo) Dar es Salaam (pale tumekuwa tukikutana mara zote).
Sababu za Mabadiliko; Ukumbi wa Mahakama ya Rufaa (Kivukoni) uliopangwa awali ni mdogo na hauwezi kutosheleza umati.
Mhe. Lissu aligoma kuandika majina ya watu 40 tu (viongozi na watu wa karibu) ambao ndiyo pekee wangeruhusiwa kuingia mahakamani.
Kwa sababu ukumbi wa Mahakama ya Rufani Tanzania ni mdogo sana usioweza kuhimili watu wengi kama Mahakama Kuu.
“Siwezi kufanya hivyo. Nataka kesi iende kwenye eneo la wazi na pana ili wananchi na wapenda haki waje kusikiliza kwa uhuru.”
Mahakama ya Rufaa imesikia maombi hayo na kuuakubali na kuuleta mtanange kwenye ukumbi mkubwa na wenye nafasi.
Umetimia mwaka mmoja tangu Diogo Jota afariki kwa ajali. Rafiki yake mkubwa yaani Ruben Neves aliyecheza naye Porto, Wolves na timu ya taifa anavaa jezi no. 21 iliyokuwa ya Jota, kwenye World Cup hii. Kocha wa Ureno amesema wanataka washinde hili kombe kwa ajili ya Jota.
Fier de ce groupe tout entier , Fier d’avoir porté les couleurs de la RDC sur la plus grande scène mondiale avec cœur et courage 🇨🇩❤️ . Aujourd’hui la déception est grande , mais l’image qu’on laisse du football congolais et africain reste plus importante .
We’ll be back 🙌🏾🇨🇩
Nimekufahamu kupitia Makam Mwenyekiti Mhe. @HecheJohn, ulikuwa mtu mwenye upendo mwingi, ulikuwa Baba na rafiki wa kila mtu ambae alibahatika kukufahamu.
Kifo chako kimetuachia simanzi kubwa sana ndani ya mioyo yetu.😭😭😭😭
Pole nyingi kwa familia kwa kumpoteza Baba yenu lakin pia pole kwa Mhe. Heche kwa kumpoteza Dereva wako.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana na mwanga wa Milele Umwangazie Apumzike kwa Amani Mzee wetu Suez Dani Maradufu.🙏💔