iPhone Xs Max
256GB ๐100%
Gold Color
Tsh 350,000/= tzs
NB:Mikoani tunatuma malipo
Baada ya kupokea
Free Charge, Cover & Protector ๐
Exchange & Top up allowed
๐/Whatsapp 0683678977
KINDLY REPOST ๐บ๐ท๐
Kama unatafuta majukwaa ya kufanya kazi ndogo ndogo mtandaoni na kupata $2 mpaka $5 kwa lisaa pitia hapa
PS: Unaweza kutumia simu au laptop
Repost & Thread ๐
Kufunga Ni Tiba Kuu Dhidi ya magonjwa yote na unapuuzia.
Inflammations ndio chanzo cha:
โ Kuvimba tumboni
โ Chunusi
โ Maumivu ya viungo
โ Mabadiliko ya hisia
โ Mchafuko wa homoni
โ Uchovu
โ Akili nzito
โ Saratani
โ Uvimbe kwenye uzazi (fibroids)
โ PCOS (Ugonjwa wa Ovari zenye uvimbe mdogo dogo)
Na unajua nini huendeleza Inflammations mwili mwako?
- Kula kila mara.
Kila tonge ni balaa kubwa
Kila kitafunwa ni shambulizi hatari
Kila mlo unahitaji mwili wako uache kufanya kazi zote
Kama hujawahi kupumzika kula, mwili wako haupati nafasi ya kupona.
Huu ndiyo uzuri wa kufunga.
Unabadilisha hali yako.
Unaleta mapinduzi mwilini
Unasafisha sumu zote ulizohifadhi
Unapofunga kwa njia sahihi:
โ Insulini hushuka
โ Uchomaji wa mafuta huongezeka
โ Uvimbe hupungua
โ Seli kongwe huondolewa
โ Ukuta wa utumbo huanza kujijenga upya
โ Homoni husawazishwa kama inavyotakiwa kuwa
Na mwili wako huanza kuongea na wewe tena:
โNajisikia salama.โ
โNahisi msafi.โ
โNimeanza kupona.โ
Sio tu kukosa mlo. Bali ni kurudisha mfumo wa asili wa mwili.
Huhitaji chakula zaidi, kwa sasa unahitaji kupumzika.
Ni weekend, tumeanza funga ya saa 48 kuanzia ijumaa Hadi jumapili.
Kujiunga na group langu, huduma ya personal training, program za chakula na ushauri nitumie neno COACH WhatsApp 0628908800.
Trainer wa Taifa.
Ommyfitness,
0628908800.
Wafalme,
Mwanamke wako hatakiwi kuongea na:
-Mpenzi wake wa zamani
-Mwanaume yeyote anayempenda
-Mwanaume yeyote aliyetamani kuwa nae
Hii wataita kutojiamini ama toxic,
Lakini wanaume tunaita MIPAKA.
Na mipaka lazima izingatiwe.
Mchanganyiko huu, Hutumiwa kisiri na watu wenye magonjwa ya Figo...
Huhusafisha mishipa ya damu, huimarisha Kinga Imara ya Mwili siku zote.
Pata Angalau Glasi 1 hadi 2 kwa Wiki itafanya Uwe imara Zaidi ๐.
Unaweza Kuhifadhi pia Mchanganyo Huu.๐
Detox, Kutoa Sumu Mwilini...!! JE..!! Unatumia njia gani kutoa sumu mwilini..!?
Unaweza ukawa Huna majibu....Kwasababu Detox yawezakuwa ikawa sio utaratibu wako.
HIPO HIVI...
Hatua ya kwanza na ya muhimu kabisa katika kuelekea kuwa na afya njema, ni kutoa sumu mwilini yaani "Detoxification".
Sumu za mwilini (Toxins) ni chanzo kikuu cha magonjwa mbamli mbali haswa magonjwa yasiyo ambukizwa. Kama Kisukari, Saratani, shinikizo la damu, Figo N.K...
Mitindo mibovu ya maisha, Vyakula tunavyokula kila siku,vinywji, Kutokufanya mazoezi nisababu kubwa ya kuwa na sumu nyingi mwilini.
FANYA HIVI, HUPUNGUZA SUMU MWILINI....
1. Panga ratiba nzuri ya mazoezi na vyakula kwa kuzingatia makundi makuu matano ya vyakula.
2. Nasisitiza kuamka mapema.
3. Zingatia mazoezi kila siku asubuhi walau dakika 30 hadi 45.
4. Hakikisha unatokajasho..Endelea na mazoezi mpaka jasho likauke.
5.Pata Mchanganyiko wa Vitunguu maji, swaumu, Tangawizi, Limao na Asali Mbichi..
Hivi ni vyanzo vikuu vya upungufu upungufu wa nguvu za kiume.
โUpungufu wa homoni ya testosterone.
โKulegea kwa mishipa.
โKuziba kwa mishipa damu.
โ Saikolojia yako.
Vyote vinatibika kwa kula lishe bora na Mazoezi na Ushauri wa kisaikolojia Wacha kuangaika na Madawa..๐ซต
Itachukua miaka ila ipo siku utaelewa,
Kwanini๐๐ฝ
-Usiangalie habari
-Usinywe maziwa
-Upunguze wali
-Usiguse risiti
-Usile sembe
-Usitumie viagra
-Usipige punyeto
-Usinywe soda & juisi
-Usilazimishe mapenzi
-Usile matunda
-Usile ngano
-Usile sukari
Na kula Chumvi ya mawe.
Cancer cells die in 42 days
This amazing Austrian drink has cured more than 45 thousand people. You will also forget about other dangerous diseases, such as diabetes, pneumonia, heart attack prevention, all sand and stones from the kidneys, as well as all salts and toxins from your body will be removed.
For a complete cure, he recommended drinking only teas and juices prepared according to his recipe for 42 days.
To prepare the juice you need
- 300 grams of red beets
- 100 grams of carrots
- 100 grams of celery root
- 70 grams of fresh potato juice
- 30 grams of radish
Check Thread๐