Tafakuri Yangu Leo✍️.
1. Raisi ni cheo kikuu anachopata mtu kuongoza Nchi au taasisi.
Uraisi ni Taasisi ipo minajili ya kumsaidia Raisi katika kumwezesha ufanyaji kazi kwa wepesi na weledi wa Hali ya juu, watu wake wanakuwa na taaluma mbalimbali, weledi na ubunifu usomithilika✊!
"VAA TOKELEZEA KAMA ALMARUHUM SHEIKH SHAABAN ROBERT".
Masharti na Vigezo.
1. Unachotakiwa kufanya ni Kuvaa kama Sheikh Shaaban Robert kwa wanaume na Siti Binti Saad kwa wanawake na kupiga picha yenye mwonekano mzuri Kisha kupost mtandaoni kwa "kututag" katika page zetu,
Facebook :- Tanga Initiative and Mindset Organization.
X :- Timo_tanga
IG :- Timo_tanga
LinkedIn Tanga Initiative and Mindset Organization (TIMO)
2. Kichwa Cha Habari ni Vaa Tokelezea kama Almaruhum Sheikh Shaaban Robert.
kupiga picha yenye mwonekano mzuri Kisha kupost mtandaoni kwa "kututag" katika page zetu,
Facebook @Tanga Initiative and Mindset Organization.
X :- Timo_tanga
IG :- Timo_tanga
LinkedIn Tanga Initiative and Mindset Organization (TIMO)
3
Masharti na Vigezo.
1. Unachotakiwa kufanya ni Kuvaa kama Almaruhum Sheikh Shaaban Robert kwa wanaume na Siti Binti Saad kwa wanawake na kupiga picha yenye mwonekano mzuri Kisha kupost mtandaoni kwa "kututag" katika page zetu,
2
Picha itakayosambazwa kwa Wingi na kupendwa zaidi ndio watakuwa washindi kwa Mwezi wa Kumi na watapata Mwaliko kujumuika nasi Kunywa Chai ya Nazi na Vyakula Asili Vya Tanga, SWAHILI LOUNGE.
Haitoshi watapata Mwaliko kuhudhuria Siku ya Tamasha kukaa Eneo Maalumu.
5
Picha ni Uzinduzi wa Shindano la mtandao la "VAA TOKELEZEA KAMA ALMARUHUM SHEIKH SHAABAN ROBERT".
Uzinduzi huu ulifanyika katika Mgawaha wa Swahili Lounge, Aliezindua shindano hili ni Balozi wa Tamasha kwa mwaka 2024 ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya Tanga, Ndugu. Japhary Kubecha.
1
TAMASHA LA SHAABAN ROBERT 2024 TANGA.
Katika kumuenzi Mwandishi wa Vitabu vya Kiswahili TIMO kufanya Tamasha mwezi wa 11 mwaka huu lengo kupata Waandishi zaidi 1000.
Ungana nasi kwa kuchangia kufikia lengo kupitia,👇👇
https://t.co/KT6tVaSwDi
@ReganTesha_ Huyu kama sio @tangaasili sababu jamaa ni mkarimu sana nafikiri ukarimu umemponza, kama sio yeye basi hii stori umeisikia kwa @EddoLalika maana huyu jamaa