Iwe @EsirEid leo tunajipiga ndugu zako hapa Meja Jenerali Isamuhyo 🏟️
Nasikia mwenye elimu ndogo kwenye timu yenu ana Diploma aliichukulia Havard university 😅
MUZIKI WA SPUNDA
MAALIM NASH X BLACK NINJA.
INAPATIKANA KWA EMAIL AU WHATSAPP.
BEI - 10,000/=
LIPIA KATIKA LIPA NAMBA ZIFUATAZO
MIXX BY YAS - 17912371
MUTALEMWA THEOBARD
M-PESA - 37126743 MAALIM STORE.
UKISHALIPIA NITUMIE UJUMBE WHATSAPP WA MUAMALA WAKO KWENYE 0769522346
Maria Sarungi-Tsehai, one of Tanzania's foremost and fearless critics of the Samia regime and a dearest friend has been snatched by three unidentified gunmen in the vicinity of Yaya Centre in the Kenyan capital of Nairobi.
A strident opponent of the Magufuli dictatorship, Maria had fled to exile in Kenya since just before the fraudulent 2020 general elections and had been running Chanzo TV, a pro-democracy online platform.
While we hope and pray for Maria's life and safety, we must call upon the Kenyan government and all people of goodwill from around the world to intervene in whatever capacity they can to help secure Maria's safe return to her family.
And we must tell whoever is behind Maria's abduction and disappearance that no amount of terror and violence or intimidation will silence us. That many many more Marias will step forward to take up her fight for democracy and decency in Tanzania.
FREE MARIA SARUNGI
Kenyan & Tanzanian Authorities should all be ashamed of yourselves.
Democracy ni uhuru wa kuwa tofauti, na pia haki zako kulindwa hata ukitofautiana na majority and/or Watawala. True democracy is TOLERENCE! Na hatma hupatikana kwenye Ballot. Sasa mnapora Ballots, na mnataka kupora haki za watu kuwa wao na mitazamo yao?! smh
Maria Sarungi @MariaSTsehai has been abducted in Nariobi by armed men this afternoon.
She was making her way out of Yaya Centre. They abducted her before she took a cab.
We cannot establish her whereabouts or where she’s being held.
Help us find Maria. #FreeMariaSarungi
‼️USIPITE BILA KUSOMA 👇🏾‼️
15 June Jumamosi saa mbili usiku Kombo Mbwana alitekwa na alikaa incommunicado kwa siku 29. Tarehe 14 Julai kaimu Kamanda Bernard Zacharia wa Tanga ndo alitangaza kumshikilia kwa tuhuma ya matumizi mabaya ya kimtandao
Kesi ilipelekwa mahakamani tarehe 16 Julai kimyakimya saa 10 jioni na alisomewa mashtaka matatu na alikaa gerezani bila kumwona mwanasheria wala ndugu hadi tarehe 20 November ambapo alihukumiwa kifungo cha siku 15 au faini ya shilingi 85,000. Familia yake ndiyo iliyomlipia faini na akawa huru.
Alipofungwa aliacha mpunga hekari 10 ikiwa tayari na alikuwa mfanyabiashara wa ng’ombe na mbuzi na alifuga nyuki na kuku. Familia ilishindwa kulinda shamba na mazao yameibiwa na mifugo ilibidi familia ipige mnada wakati wanahangaika kumtafuta. Hatimaye familia iliweka bajaji yake Kombo kwenye bondi ya sh milioni 2 ili waweze kumtoa.
Ametoka jela ila amepoteza kila kitu na ni zaidi ya mwezi sasa anahangaika kusimama tena!
Tafadhali tumshike mkono aweze kusimama na ka mtaji na apate mahali pa kuanzia maisha upya!
Unaweza kumchangia chochote ulicho nacho kupitia namba:
0696782584 na 0717673220 – jina litasoma Kombo Jumanne
Tumshike mkono! 🙏🏽