@KhalifKairo Niko na plan ya kuanza kuleta pawpaws from my village to nairobi juu pawpaw ocha zinakuliwa na ndege na huku nairobi they are very expensive so nikipata hako kagari nitasaidia sana wakulima nibuy izo pawpaw ndio pia angalau wapate unga na hii uchumi buanaa