Kwa Wanaume wote wapambanaji na mnaojali, mzidi kufanikiwa mifuko yenu isikauke, mpate mara dufuโค๏ธ
Nyie mnaopenda vitonga, kulelewa, kulala na wanaume wenzenu na kulalamika hovyo lolote liwakute mdondokowe na ukuta mvunjike vunjie kila sehemu Umbwa nyinyi ๐๐ก #DrNey
Makosa makubwa tunayofanya kwenye mahusiano ni kuwa na wapenzi ambao hawawezi kutufichia madhaifu yetu...
Ukishajua hivyo kabla hujamuoa au kuolewa Achana nae kwa gharama yoyote ile kunusuru maendeleo ya maisha yako #DrNey
Yapime kwa ukubwa sana maneno unayoambiwa kuhusu fulani. Yapime kwa umakini Mkubwa,kwani Unaweza kuwachukia walio wema na kuwakumbatia wabaya kwa kusikiliza Majungu na Fitna zao.
Katika maisha chochote kinaweza kuondoka upande wako. Mtu pekee anaeweza kubaki na wewe mpaka mwisho wa safari yako ni wewe mwenyewe. Jipende. Jithamini. Jiamini. Jikubali pia.