🎵Jesus set me free, when he died on the Cross ☦️
The price has been paid in full, I AM FREE 🤗🎶
Happy Resurrection Day, Easter it is 🙏
As he said, He’s Risen (Matthew 28:6)
Jesus Christ won 👑👊🏾
@JacquilineHenr7 Happy birthday to you black Beauty...ila naomba Kuuliza una mtu? Kama hauna unaonaje hii birthday tukasherekea pamoja maana hapa nilipo moyo wangu haufanyi kazi tena baada ya kukuona.
Nazungumza na wewe kijana
Unaepitia wakati mgumu saa hii na huna mtu wa kumweleza au kushare nae maumivu
Sikiliza dear pole kwa unayopitia na usife moyo wewe ni wa muhimu na lipo kusudi la uwepo wako hadi leo duniani, endelea kupambana unavoweza, huku ukiwa na nidhamu, kutamkia wengine baraka na imani Mungu atakufanyia wepesi.
Kuu zaidi jipende sana ukiweza kula basi kula vizuri pumzika na usijikatie tamaa wewe ni mwenye thamani sana.
Nakupenda❤️🫂
@FKihamu Hizi kelele mngekuwa mnapiga kwa Nini Lautaro Martinez amekosa Tuzo mngekuwa watu wa maana Sana Lakini kwa Sababu mnaendeshwa na hisia🚮 mmechagua kumtetea mtu ambaye na Yeye hata hakustahili kushinda hiyo Tuzo..!! UNAFIKI!! UNAFIKI!!💥💥
@Roraldbreezy@FKihamu ⚽️ 35 goals
🎯 8 assists
🏆 Serie A
🏆 Copa America
🏆 Italian Super Cup
🏆 Serie A golden boot
🏆 Copa América golden boot
Na Ameshika nafasi ya 7 lakini hatujaona Umama wa Club yake kususia Tuzo🚮...Simba na Madrid ni mtu na shoga yake
@kalage_jr Hiko sio kikosi Bora Cha Balon d'or lakini😂😂😂 ni kikosi Bora Cha UEFA CHAMPIONS LEAGUE moja Kati ya Sifa inayokusaidia kupata Balon d'or ila Sifa kuu😄😄🚮🚮