Namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa neema na baraka zake leo ninapotimiza umri wa miaka 65. Sifa njema zote ni zake Yeye, Mola Mlezi wa viumbe vyote.
Nawashukuru nyote kwa salamu nyingi za kheri na upendo kwa siku hii, na kwa dua njema katika kazi ya kulitumikia Taifa letu.
Ahsanteni sana.
MKURUGENZI wa Msama Promotions Alex Msama amepewa tuzo ya Heshima na Chama cha Muziki wa Injili nchini (CHAMUITA) kama Muandaaji Bora wa matamasha ya nyimbo za Injili muda wote kuinua na kusapoti muziki huo pamoja kusapoti wasanii wadogo
*Bei za Mafuta mwezi Novemba 2024 Zaendelea Kushuka*
Na Mwandishi Wetu
DODOMA: Bei za reja reja za mafuta kwa mwezi Novemba 2024 zimeendelea kushuka. Bei ya petroli kwa Dar es Salaam na Tanga imeshuka kwa asilimia 2.26 ambayo ni sawa na shilingi 68 kwa lita,
@AbroadTanzania Acha upotoshaji wewe hizo ni taasisi za za East Africa wanawasidia watoto gaza ... ww @AbroadTanzania bivhqa boksi acha kutaka kwagawa watanzania
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imemtaka kila aliyekuwa anatozwa kutazama chaneli za televisheni za TBC 1, ITV, Star TV, Channel Ten, EATV na Clouds TV kupitia kisimbuzi cha Dstv, Azam au Zuku kupeleka taarifa katika mamlaka hiyo. Mwisho wa kutoa taarifa ni Septemba 24.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Wanu Hafidh Ameir amejiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa linaloendelea nchi nzima tangu 11 - 20 Oktoba, 2024.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Wanu Hafidh Ameir amejiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa linaloendelea nchi nzima tangu 11 - 20 Oktoba, 2024.