@TriciaAbou Mie nitasimamia pale pale scouting ni mbovu,sio lazima kila msimu timu zetu zinatakiwa kusajili mchezaji wa ndani..tujenge "exceptional factor" strategy...Mikel Arteta huyo hapo hana time na watoto wote wa kiingereza...kwani unadhani hawaoni huko Burnley, Brighton
@bajabiri Mimi huwa nalia na vyama vyetu vya michezo..They are not for our sports sector progression..these issues should not be receiving so much attention
@INFLUENCERjr Nathaniel Chilambo anaweza akawa mzuri zaidi Singida na si Simba, Husein abel anaweza akawa mzuri YANGA na Sio Simba ili tulijue kupitia scouting nzuri..KIUFUPI TUNAAMINI PLAYERS WOT TZ WANAYONAFASI YA KUCHEZEA SIMBA NA YANGA NA SI MFUMO
@INFLUENCERjr Jamaa yupo sahihi japo shida si wao bali scouting zetu si nzuri, haimaanishi kila mchezaji aliyekuwa na msimu mzuri au kaonesha kiwango kwenye timu yake basi lazima asajiliwe na YANGA au SIMBA! Lazima tukubali kufanya scouting na kutambua aina ya wachezaji wanaopasw na si kila mt