Huyu mtoto ukimsikiliza hata kwa sikio moja tu, utagundua shughuli yake sio ndogo yaani ni wamoto π @macvoicetz@Rayvanny sasa nimeona amesaini na ana-invest mpunga sehem yenye rutuba yakutoshaπ
NB: yule mtoto wa mmakonde ajiangalie sana πππ
Team wamakonde njoon mniuwe ππ
π΄Anaitwa EMMANUEL MAKERO
Ni mwanafunzi wa Agricultural Economics and Agribusiness mwaka wa pili SUA
π΄Ni mgombea wa URAIS kwa serikali ya wanafunzi SUA 2021/22
π΄Ni Mbunge Mstaafu wa UNIT 1 Na katibu Mstaafu wa Association ya TAGRESSA.
π΄Ndugu WANASUASO tumpe Kura za Ndiyo π
Ukipendwa sana usiringe mpaka kwa anaekupenda. β
Maringo na dharau pia ni chanzo cha mapenzi kupotea... π
Ukipendwa usimfanyie kusud mwenza wako... πππ